nimefumania

Fanya kile unachojisikia ndani ya moyo wako kufanya ili usijekuwa na mtu wa kumtupia lawama zaidi ya nafsi yako mwenyewe.
 
 
humlidhishi mkeo,wacha watu wajilie bana
 
msamehe tu mkeo,binadamu hatujakamilika,hata ww yapo ambayo umemkosea na alisamehe!msamehe maisha yaendelee
 
Chungu kumeza, tamu kutema, the ball is in your basket man
 
Usimuache. Utaacha wangapi? Mimi yashanikutaga hayo ila sisi kilammoja alimfumania mwenzake, ila tukaona tusahameane na mpaka sasa penzi linanoga kama zamani.
 
jibu unalo mwenyewe

hakuna kamwe wa kukushauri kwani moyo akili na utashi vyote unavyo mwenyewe
 
kama umekuwa na mkeo kwa miaka kadhaa ,then mtu akamchukua kwa masaa tu,do not mind chukua mkeo rudisha home life goes on
 
Kama umemfumania hiyo ni kesi nyingine.
Jiulize ni nini kimemfanya akusaliti;
Je, haumtoshelezi, humpatii mahitaji yake kama mkeo, haueleweki.

yan hapo kwnye kuna mahali hakumtosheleza ckubalian nako kama alikuwa haridhik c angesema jamaa aimprov maujanja
 
Kama uliwakuta kifo cha mende nadhani hujaumia sana.

Tatizo ni style gani alikua amekunywa au kama hukuwakuta live, je 0713 imesalimika?
 
sasa ulikuwa unaulizia limbwata ndio hilo sasa ulishalila kitambo na hizo ndio action zake........ ombi langu wewe weka picha ya wife wako hapa ndio ntakushauri kiundani zaidi nini cha kufanya
 
Timiza kihapo chako!

 
Sidhani kama atauweka hapa ukwel kuhusu usaf wa mwil na moyo wake coz hajafumaniwa yeye.samehe *70
 

Kill her!
 
Ukimfumania mwenza adhabu yake ni kuendelea kuwa nae. Afu usimuulize. Muache ajipe mtihani what you are extrapolating.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…