Nimefulia wandugu, Mshahara Juni 2021 tayari?

MALIMBIKIZO YA MSHAHARA KAMA SERIKALI ILIVYOAHIDI BADO
Serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania chini Raisi mpendwa MH. SAMIA SULUHU HASSAN imetekeleza upandishaji madaraja kwa watumishi wa umma kwa 70% , Sasa ni muda wa malimbikizo ya mishahara ya kipindi kilichopita Kama waziri wa utumishi alivyoahidi kwamba litatekelezwa mwezi June 2021.
Mama watumishi wanakitegemea Sana Kama ulivyofanya kwa upandishaji madaraja.
Watumishi wanasubiri Hilo litekelezwe.
 
Daah n

ami nimeona kwangu siioni kitu labda bado mwisho wa mwezi
 
MALIMBIKIZO YA MSHAHARA KAMA SERIKALI ILIVYOAHIDI BADO
Serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania chini Raisi mpendwa MH. SAMIA SULUHU HASSAN imetekeleza upandishaji madaraja kwa watumishi wa umma kwa 70% , Sasa ni muda wa malimbikizo ya mishahara ya kipindi kilichopita Kama waziri wa utumishi alivyoahidi kwamba litatekelezwa mwezi June 2021.
Mama watumishi wanakitegemea Sana Kama ulivyofanya kwa upandishaji madaraja.
Watumishi wanasubiri Hilo litekelezwe.
Iyo 70% haifiki maana waliopandishwa ni kidogo sana
 
Hawa wanatuchezea akili mbona watu wengi hawajapanda au ni uzembe wa maafisa utumishi na je kama maafisa utumishi wamezembea wataachwa hivyohivyo?inasikitisha watu toka 2014 na wengine nyuma ya hapo lakini hakijaeleweka!
 
Hakuna uzembe wowote, hawa jamaa hawana pesa tu, kama walivyojitapa kweli kumbe uozo tu

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Ujumbe wenu waajiriwa wa serikali
IMG-20210625-WA0040.jpg

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Watu mnachanganyanya kupanda na kurekebishiwa mshahara. Unaweza kuwa umepanda ila hujarekebishiwa bado salary. Sasa unaposema 'hata mimi mshahara wa mwezi huu sijapandishwa'si sahihi
 
Back
Top Bottom