Nimefulia wandugu, Mshahara Juni 2021 tayari?

Sasa mkuu ulikopa miaka 6 iliyopita Ila makato hayaishi Sasa hio 200k ndo inayobaki unarudi nayo home....kiukweli maisha ya utumishi ni utumwa Sana....
Yani kwa mshshara wa 200K kwenda kazini asubuhi kurudi saa 9.

Maana yake kila akitoka kazini jioni anapewa 7000(alfu saba) kwa siku hiyo akale,akavae na kulipa gharama mbalimbali.

Wakati huo kuna watu wana biashara za kawaida tu kwa siku wanatoka na 40 mpaka 50 kwa maana kwa mwezi mfanya biashara huyu basic salary yake ni kama 1.5 milion.

Hapo ukitoa makato makato mengine ya mahitaji mbalimbali ndo anaangukia kwenye viwango vya chini.

Kiufupi waajiriwa ni watu wa kuonewa huruma sana yani,mtu analipwa laki sita kwa mwezi maana yake kila siku atumie 20K akizidisha matumia akaiona nyingi atalala njaa.

Hapo ndo linakuja suala la kujiongeza,sawa mtu awe mtumishi ila atumie mshahara wake kujiwekeza zaidi,asiogope,yeye atumie mshahara kutafuta biashara asiogope kwa sababu kila mwezi anapata hapo ndo ana yo fursa kubwa ya kufanya mambo makubwa sana.
 
I am in Low Water, nimefulia Kwa kweli. Tegemeo la Kwanza Salary ya Serikali. Mshahara wa Juni 2021 naona umechelewa. Nimesubiri SmS ya sijapata. Wengine kwenu Vipi?
Bado mkuu vuta pumzi Around 23rd au 24th.
 
Back
Top Bottom