Achaa roho mbayaaa.......nakopesha laki kwa laki na 40 mwisho wa mwezi, nicheki
Umechange avatar kama umechange IDUna maana gani kusema umechelewa? Leo si ni tarehe 23? Au mie ndio nimesahau tarehe
Nimeibadili muda mbona!Umechange avatar kama umechange ID
Vipi Madaraja? ...watu wameyaona au?Sijui unafanya sekta gan serikalini ila sisi tayari tushapata mshahara
Mkuu unamuda gani toka uajiriwe? inaonekana ikitokea ukapata matatizo kazini ukasimamishwa kazi utapata tabu sana...I am in Low Water, nimefulia Kwa kweli. Tegemeo la Kwanza Salary ya Serikali. Mshahara wa Juni 2021 naona umechelewa. Nimesubiri SmS ya sijapata. Wengine kwenu Vipi?
Captain wewe umejijenga sana ety?Mkuu unamuda gani toka uajiriwe? inaonekana ikitokea ukapata matatizo kazini ukasimamishwa kazi utapata tabu sana...
"Walimu mna matatizo"I am in Low Water, nimefulia Kwa kweli. Tegemeo la Kwanza Salary ya Serikali. Mshahara wa Juni 2021 naona umechelewa. Nimesubiri SmS ya sijapata. Wengine kwenu Vipi?
Mitambo inakata kwanza salary advance uliochukua"Walimu mna matatizo"