Nimefulia wandugu, Mshahara Juni 2021 tayari?

Dah.

Hiyo si una mkopo mkuu ?

Au ni take home hiyo ?
Sasa mkuu ulikopa miaka 6 iliyopita Ila makato hayaishi Sasa hio 200k ndo inayobaki unarudi nayo home....kiukweli maisha ya utumishi ni utumwa Sana....
 
Kuna jamaa yangu nilikuwa nafanya nae kazi halmashaur moja yeye akiwa technician Ila now ni TARURA ..alivuta mkopo kama 7m akaona ni nyingi bàada ya 6months zikaisha zoote akawa anapokea hiyo 178345.33 kipindi hicho....jamaa alikuwa na maisha magumu Sana akaamua kuacha kazi daah ....akasema Bora akawe boda kuliko kuwa tech wa halmashaur....daah sijui Leo Yuko wapi jamaa yangu
 
I am in Low Water, nimefulia Kwa kweli. Tegemeo la Kwanza Salary ya Serikali. Mshahara wa Juni 2021 naona umechelewa. Nimesubiri SmS ya sijapata. Wengine kwenu Vipi?

2847454_Screenshot_20210717-205013.png
 
Kuna jamaa yangu nilikuwa nafanya nae kazi halmashaur moja yeye akiwa technician Ila now ni TARURA ..alivuta mkopo kama 7m akaona ni nyingi bàada ya 6months zikaisha zoote akawa anapokea hiyo 178345.33 kipindi hicho....jamaa alikuwa na maisha magumu Sana akaamua kuacha kazi daah ....akasema Bora akawe boda kuliko kuwa tech wa halmashaur....daah sijui Leo Yuko wapi jamaa yangu
Kuna jamaa zangu tangu 2017 mpaka sasa wanatembelea mshahara wa 181,000/= acha huyu Mwendazake aende tu maana kupata mabadiliko ya mshahara umeokoa wengi
 
Sasa hapo utaachaje kufulia Kila mwezi?
 
Back
Top Bottom