Nimefiwa na mama yangu mzazi

Nimefiwa na mama yangu mzazi

pole sana ndugu yangu kwa msiba.Jitahidi kusoma vitabu vinavyohusiana na imani yako,hakika utarejea katika hali ya kawaida.
 
Mkutano wa katibu mkuu wa ccm mjini musoma ni aibu tupu uwanja mweupe pe imebidi aende hivyo uwanjani nimepigiwa simu muda huu nimepigiwa simu mwenye kututupia kapicha afanye hivyo wanajamvi
 
Mkutano wa katibu mkuu wa ccm mjini musoma ni aibu tupu uwanja mweupe pe imebidi aende hivyo uwanjani nimepigiwa simu muda huu nimepigiwa simu mwenye kututupia kapicha afanye hivyo wanajamvi
KAMA HUJUI KUTUMIA HILI JUKWAA OMBA USAIDIWE. Usikurupuke.
 
Pole. This world is not our home. There is a special place for all of us-Heaven. Lets leave as per God's commandments.
 
Pole sana jipe moyo utayashinda. Naomba Mwenyezi Mungu ailaze mahala pema roho ya mama ye2 mpendwa Ameeeeee
 
pole ndugu.....get strong heart....wafariji ndugu zako..waambie FAMILIA YA "INVISIBLE" ISIYOONEKANA (JF) inawapa pole
 
Pole sana mkuu.

Hakika hilo ni jaribu kuu, lakini kila nafsi lazima ionje mauti.

Mungu akupe ujasiri wa kuukabili huo mtihani. Mungi amlaze mama yetu Mahali pema peponi. Amen.
 
Pole sana mchaka mchaka! Mungu ana makusudi na kila jambo! Soma neno na fanya maombi faraja ya roho mtakatifu itajaa ndani yako! Zaidi kaa na watu na muongelee vitu vingine kabisa itakusaidia kupunguza tension ya msiba! May you receiev the comfort of GOD Himself!
 
Mungu akutie nguvu ya kushinda huzuni. Mkabidhi Mungu huzuni yako maana yeye anaweza kukufariji na faraja ya kweli inatoka kwake tu. Sisi wanadamu tunaweza kutumia maneno lakini Mungu ndiye anayeweza kukufariji ipasavyo. Kaa na familia na rafiki zako pia maana Mungu hutumia pia watu kuzungumza nasi. Nitakukumbuka katika sala zangu
 
ndugu zangu jumapili iliyopita tarehe 15.5.2011 ilikuwa siku mbaya kwangu kuliko zote. Mama yangu kipenzi alitangulia mbele ya haki. Tulimzika juzi jumanne. Ila kila nikijaribu kufanya chochote nashindwa nishaurini wenzangu. Nahisi nitamfuata huko.
pole sana Mchaka!hali hiyo ilinikuta 2006,na mbaya zaidi ilikuwa ninajiandaa na mitihani!niliwaza na kusononeka sana,ila niligundua haikunisaidia sana hali ili baki hiyo hiyo,hivyo kaka kipe moyo ni sehemu ya maisha ya mwanadamu!jitahidi kufanya maombi itakusaidia!!!
 
Pole M'M.

RIP mama!
Mungu awape Moyo wa subira wafiwa wote.
 
Bwana alitoa bwana ametwaa jina la bwana libalikiwe uzidi kumtanguliza mungu kwa kila jambo kwani wote ni wapitaji duniani pole na mungu akuongoze
 
Back
Top Bottom