Nimefiwa na mama yangu mzazi

Pole sana mkuu kwa kumpoteza mama...
Nakuombea kwa Mungu akujaze nguvu upite kwenye mtihani huu salama.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Pole sana kwa msiba wa mama, jipe moyo mkuu utashinda maana umempoteza mtu muhimu ktk maisha yako ila huu ni mwanzo mwingine mpya wa maisha yako.

R.I.P mama.
 
r.i.p mam we are missing u.

pole sana na msiba mkuu ... ni safari yetu wote kwani hatujui siku wala saa ... yatubidi tujiandae

Thatz what it means to be a grown up, you have to know that success lies in a greatest problems. What i see is u r about to succeed. R I P MAM, Thatz whre we all are going

Thatz what it means to be a grown up, you have to know that success lies in a greatest problems. What i see is u r about to succeed. R I P MAM, Thatz whre we all are going

Pole sana mkuu kwa kumpoteza mama...
Nakuombea kwa Mungu akujaze nguvu upite kwenye mtihani huu salama.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Pole sana kwa msiba wa mama, jipe moyo mkuu utashinda maana umempoteza mtu muhimu ktk maisha yako ila huu ni mwanzo mwingine mpya wa maisha yako.

R.I.P mama.

pole sana kamanda,Mungu akutie nguvu.
Jamani tutoe pole lakini tuangalie tarehe, maana ishu hii ilitokea approx. two years ago!
Si mbaya kwa wale ambao hawakuiona!
 
Amani na faraja ya kweli ipo kwa Mungu peke yake, mwambie Mungu akupe amani, faraja na ushauri sahihi wakati huu mgumu. Mungu akutie nguvu
 
Inna lillah wa Inna illah Rajiun!

mungu akutie nguvu na mshukuru mungu kwa kila jambo!
 
pole sana kwa msiba mzito uliokupata mwenzetu. Mungu asimame upande wenu ili awatie nguvu na Imani
 
Pole sana ndugu, duniani sisi ni wapitaji na wasafiri, mavumbini tulitoka na huko tutarudi. Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe. Nakushauri usome Biblia na umwombe Mungu utapata faraja.
 
ndugu zangu jumapili iliyopita tarehe 15.5.2011 ilikuwa siku mbaya kwangu kuliko zote. Mama yangu kipenzi alitangulia mbele ya haki. Tulimzika juzi jumanne. Ila kila nikijaribu kufanya chochote nashindwa nishaurini wenzangu. Nahisi nitamfuata huko.
Pole mkuu mungu akupe nguvu!
 
Pole sana mkuu,jipe moyo na matumaini huku ukimuombea mzazi apate pumziko la milele
 
ndugu zangu jumapili iliyopita tarehe 15.5.2011 ilikuwa siku mbaya kwangu kuliko zote. Mama yangu kipenzi alitangulia mbele ya haki. Tulimzika juzi jumanne. Ila kila nikijaribu kufanya chochote nashindwa nishaurini wenzangu. Nahisi nitamfuata huko.

Pole sana Mchakamchaka!! Jipe moyo kwani wote ni njia yetu. Jaribu kukubali kuwa amekufa na usiendelee kumlilia kwani amepumzika. kumbuka kuna watu hawakubahatika kuwaona mama zao kwani walikufa wakiwa dadogo. Wewe una tofauti gani na hao hadi Mungu akamwacha mama hadi ukapata mapenzi yake. Piga magoti na shukuru kwa hilo.
 
Pole sana najua inauma lakini inabaki kuwa ndo ukweli wenyewe mungu akutie nguvu
 
Back
Top Bottom