Nimefikia maamuzi, najitoa rasmi CCM

Nimefikia maamuzi, najitoa rasmi CCM

Kama masharti ya kumiliki siraha yangelegezwa kidogo, ,, hakika watanzania tungepunguzana kimya kimya....maana huku mitihani tunachukiana mabalaa utadhani tulipigiana kura!!!
 
Wape salami zao huko ulikohamia. Safali njema.
Nina sababu kadhaa kwanini naamua kujitoa CCM na kutoendelea kuisapoti serikali yake hii ya awamu ya tano.Nina sababu kadhaa;

i. Ubabe na vitisho vya viongozi kuanzia ofisi kuu hadi watendaji wa chini, wote wamekuwa wababe na wanataka waabudiwe na kudujudiwa

ii. Ukandamizaji wa demokrasia na uhuru wa kutoa maono ( ref kesi ya Melo, Lema na Ben saanane).

iii. Kuvurugwa kwa elimu kunakoendelea mf. kuwanyima mikopo ya elimu ya juu watoto wa kimaskini

iv. Kusitisha ajira kwa maelfu ya vijana wa kimaskini tofauti na kipindi cha JK! na

v. Elements za udini na ukanda-ukabila Sitaki kuisikia tena CCM, nilikuwa mpiganaji mkubwa. wa ccm! ila yanayoendelea kwa sasa sina hamu tena.
 
Alafu unakuta mtu anakwambia serikali ya awamu hii ni bora kuliko ile iliyopita..huyu si anakuwa amelogwa??

Ukijiuliza pesa zinazookolewa zinafanyia nini wala hutoona!

Hivi Jk alikuwa anatoa wapi hela??
 
Hata Kafulila wakati anahama CHADEMA mwaka 2009 alikuwa na tambo nyingi. Leo huyooo karejea. By the way who are you? Unaweza kunieleza ni mijadala gani umeanzisha humu kuisupport CCM?
wali kuwepo watu kma hawa wakapita ........basi yeye napita.......isipanic mkuu
mbona ccm hatuna watu kama nyie??? au ww ni ccm sampuri gani??
 
Nina sababu kadhaa kwanini naamua kujitoa CCM na kutoendelea kuisapoti serikali yake hii ya awamu ya tano.Nina sababu kadhaa;

i. Ubabe na vitisho vya viongozi kuanzia ofisi kuu hadi watendaji wa chini, wote wamekuwa wababe na wanataka waabudiwe na kudujudiwa

ii. Ukandamizaji wa demokrasia na uhuru wa kutoa maono ( ref kesi ya Melo, Lema na Ben saanane).

iii. Kuvurugwa kwa elimu kunakoendelea mf. kuwanyima mikopo ya elimu ya juu watoto wa kimaskini

iv. Kusitisha ajira kwa maelfu ya vijana wa kimaskini tofauti na kipindi cha JK! na

v. Elements za udini na ukanda-ukabila Sitaki kuisikia tena CCM, nilikuwa mpiganaji mkubwa. wa ccm! ila yanayoendelea kwa sasa sina hamu tena.
Kidogo wew umenishawishi kuwa kweri ulikuwa kada kwa hoja zako ambazo ziko openly zisizoegemea upande ule wa blue na nyekundu.
Nikupe big up kwa maamuzi yako
 
Makumbele nimevumilia mengi.. Nimevumilia mengi mama we.. Lakini leeoo nimefika mwisho. !! Huu wimbo nausikiaga kwa mbali safari hii nitautegea sikio kwa ukaribi.
 
Ashukuriwe Mungu toka nimekuwa na akili ya kuanza kifikiri sijawahi kuikubali ccm
 
Back
Top Bottom