Waache wampigie debe kwani 2025 imeshafika? Je utakuwepo au unajuwa nani atakuwa Rais 2025 jamani embu tupambane na mambo mengine.Ina maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda.
Eti tayari wameshampitisha Samia 2025.
This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu