baada ya kutafuta kazi bila mafanikio kwa muda mrefu sana nimemua kuja Botswana huku maisha angalau cz nimeajiliwa kama dereva tax nimepanga getto ila kuna vishawishi balaa watoto wazuri kibao ukiwa na documents halali uta enjoy maisha
Tatizo wabongo tuna akili za kibongo lala. Sasa wewe jamaa umeona fursa adhimu kutujuza ni hiyo totoz. Jamaa wewe vipi. Tupatie sekta muhimu za kimaendeleo vijana waje kutafuta maisha. Totoz ni matokeobaada ya kutafuta kazi bila mafanikio kwa muda mrefu sana nimemua kuja Botswana huku maisha angalau cz nimeajiliwa kama dereva tax nimepanga getto ila kuna vishawishi balaa watoto wazuri kibao ukiwa na documents halali uta enjoy maisha
Vp kuhusu electrical technicians na electrical engineers kazi zipi?Brick layers, makanika, chefs hizi ni badging ya kazi zinazolipa Botswana
HahahahhahahahahBaki Huko Huko Tu Kaka Huku Ni Masinema Mzee!1.5 Trilioni Haionekani!!....
Pia mkuuVp kuhusu electrical technicians na electrical engineers kazi zipi?