Nimefanikiwa kupata kazi Botswana

Nimefanikiwa kupata kazi Botswana

baada ya kutafuta kazi bila mafanikio kwa muda mrefu sana nimemua kuja Botswana huku maisha angalau cz nimeajiliwa kama dereva tax nimepanga getto ila kuna vishawishi balaa watoto wazuri kibao ukiwa na documents halali uta enjoy maisha
duuuu sijui [HASHTAG]#kuajiliwa[/HASHTAG] ndio nn ?? waaiiiiiiii mm cpend kuona mtu anaharibu kiswahili waaaaaaaiiiiiiiiiiiio jifunzen bhana sio mbaya lkn nakutakia maisha mazuri
 
Hahaaa, Botswana ki documentary ni nchi moja Africa zinazooongoza kwa watu wenye maambukizi ya UKIMWI, take care mzee
 
kwa Botswana mtu ambae anataka kuajiriwa kama call center kazi za kumwaga ni nyingi kwenye kampuni za simu npo me mwenyeji wang hapa ananipa dira
 
Nasikia Botswana kama ndio mara ya kwanza kwenda alafu hauna mwenyeji uendako wanakuzingua boarder Hamna kuingia. Kwa yeyote mwenye trick ya kutuelekeza tufanyaje kwa sisi ambao hatuna wenyeji Botswana tufanyeje ili na cc tutie miguu Pande zile?
 
Botswana ni nch ya kwanza inayotegemea uchumi wake mifugo hasa ng'ombe. VP unaonaje huko hat project mbalimbali maana wengine tuna procession hizo tunasota tu Tz
 
Tuambie mkuu wewe uliingiaje huko? Na tupe michongo ya kazi zinapatikanaje ? Ni mpaka mtu aingie huko au anaweza kuomba akiwa tz. Kwa kazi za professional kama hizo za IT, Engineering na Afya
 
Tusiwazie kwanza kazi huko Botswana!Tuanze kujiweka sawa na documents za kuhalalisha utafutaji kazi kwanza!
Ili ukifia usianze kuwa mkiambiaji tuu
 
Botswana ni nch ya kwanza inayotegemea uchumi wake mifugo hasa ng'ombe. VP unaonaje huko hat project mbalimbali maana wengine tuna procession hizo tunasota tu Tz
Wanategemea ng'ombe na diamond lakini wako mbele sana kiuchumi.

Wana demokrasia safi.

Miundo mbinu ya kueleweka.

Huduma za kiafya bure na za kiwango.

Nahisi siku sio nyingi watakuwa level sawa na south Africa hasa kwenye suala la warfare system
 
Back
Top Bottom