Nimefanikiwa kupata kazi Botswana

Nimefanikiwa kupata kazi Botswana

baada ya kutafuta kazi bila mafanikio kwa muda mrefu sana nimemua kuja Botswana huku maisha angalau cz nimeajiliwa kama dereva tax nimepanga getto ila kuna vishawishi balaa watoto wazuri kibao ukiwa na documents halali uta enjoy maisha
Lugha gani inatumika huko
 
baada ya kutafuta kazi bila mafanikio kwa muda mrefu sana nimemua kuja Botswana huku maisha angalau cz nimeajiliwa kama dereva tax nimepanga getto ila kuna vishawishi balaa watoto wazuri kibao ukiwa na documents halali uta enjoy maisha

Hakikisha tu ' Maboksi ' ya Condoms hayakauki Chumbani Kwako na katika Mifuko yako yote ya Shati na Suruali tafadhali.
 
baada ya kutafuta kazi bila mafanikio kwa muda mrefu sana nimemua kuja Botswana huku maisha angalau cz nimeajiliwa kama dereva tax nimepanga getto ila kuna vishawishi balaa watoto wazuri kibao ukiwa na documents halali uta enjoy maisha
Mkuu kuna ngoma sana huko
 
Nawaza nijiripue huko nauli sh ngapi kwa njia ya barabara nikauze mgahawa huko
 
Back
Top Bottom