Nimefall kwa mwanadada maarufu wa jf

Ukisha mtaja naomba usisahau kunitag
 
Watu mnapenda kirahisi sanaa,

Fungusa mazima basi tukusaidiee??
 
Baby umekujaa??

Uzi ujao namtajaaa,kama ni wewe basi mipango itaanza mapema tu
JJ hayupo unatamba tuu.
Kwa kuwa nimetajwa fanya kuanza kulipa mahari basi.
Ila unachokuywa leo sijui wamekijaza nini
 
Jamani wanaume wa Jf tuowane wenyewe kwa wenyewe msioe hao wa nje tupendane sisi kwa sisi na mm nikihitaji mme nakuja hapahapa sahv badobado
Siku ukikuwa tayari naomba usiache kunitag [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…