Nimetokea kukupenda. Najua inastaajabisha lakini ndivyo hivyo, ndivyo imetokea.
Ahsante kwa burudaniMrembo Yna2 hebu burudika hapa kidogo....
Nimeumia mbavu zangu..sasa sijui wanisaidiajePole baby ulipocheka hujaumia??
Be specific kijanaNimetokea kukupenda. Najua inastaajabisha lakini ndivyo hivyo, ndivyo imetokea.
OOOhhhh pole mamaa geuza kiuno nikupulizeeNimeumia mbavu zangu..sasa sijui wanisaidiaje
mara ya 20 sasa nausikilizaAhsante kwa burudani
OOOhhhh pole mamaa geuza kiuno nikupulizee
Unaamanisha kama ninayo maanisha mimi?Ahsante nashukuru
Nakupenda pia.
si huo ubavu uliolalia ndio umeumia?? nataka ugeuze kiuno ili nipulize ubavu[emoji134][emoji134]..nigeuze kiuno tena!!?
Niache nilale na maumivu yangu
Oh! Man. Sijui ila ndiyo imetokea hivyo. Ila mwanangu unaniharibia show unajua?Be specific kijana
umependa hizo nguo nyeupe? umbo? jina yna2 au maandiko yake humuu??
BTW utampendaje mtu ambae huji abc kumuhusu? She is a smoke in darkness, she is not exist..
Ndio kama umaanishavyo [emoji3]Unaamanisha kama ninayo maanisha mimi?
Kuwa seriousNdio kama umaanishavyo [emoji3]
Wote beberu tumekutana kwenye jike moja hivyo beberu mwenye kubebeza vizuri ndio anachukua jike...Oh! Man. Sijui ila ndiyo imetokea hivyo. Ila mwanangu unaniharibia show unajua?
Serious ni wapi nimpeleke mwenyeweKuwa serious
Da vinci, nafikiri majaribio yako ya kisayansi yanakuathiri. In short mi ndo Mc nasimamia show hapa. Kwa hiyo, boya boya kaeni pembeni.Serious ni wapi nimpeleke mwenyewe
au ukisema serious unamaanisha nini??
hata mm nampenda mtu ila namwogopa kumwambia