Mungu wangu. Yna2 huwezi amini nilikuwa nakufikiria.Mzigua huyo
Mungu wangu. Yna2 huwezi amini nilikuwa nakufikiria.
Siku ile nilikuomba angalau nipate ukamili wa avatar yako lakini maombi hayakuzaa matunda. Sijui nilikukwaza? Kama nilikukwaza samahani.
Vipi lakini, upo salama?
Usalama ukiwa kwako na kwangu upo vilevile. Ila kuna kitu kimoja naomba unisaidie.Umenishtuaaa
Hapana hukunikwaza
Nashukuru Mungu kila kitu kipo sawa..sijui upande wako
Unaharibu pambano mkuuIla mzigua tukiacha utani wa jf. Mimi na declare interest hapa hapa mwenye mali anisamehe. Yaani nimetokea kukupenda ki ukweli kabisaaa nje ya jf.
Hii ni show ya wakubwa watoto fumba macho.hata mm nampenda yn2 jamani mkimaliza kumpenda ni zamu yangu
Watoto ndio wano Run Show mjini hasa Dar refer.. Panya roadHii ni show ya wakubwa watoto fumba macho.
Mkuu Da' Vinci, yaani hapa sijui kama Yna2 atarudi. Nimebaki kutizama simu tu kuona hali itakuaje.Watoto ndio wano Run Show mjini hasa Dar refer.. Panya road
Hua tunapowinda tunakimbiza tetere kimya kimya bila kupiga kelele.. Yuko pm kwangu ananibebishaMkuu Da' Vinci, yaani hapa sijui kama Yna2 atarudi. Nimebaki kutizama simu tu kuona hali itakuaje.
[emoji23][emoji23]hata mm nampenda yn2 jamani mkimaliza kumpenda ni zamu yangu
Kila mtu anakupendaa nawaona wanavyokuandama nami pia nakupenda ila nimeona nisiongeze msululu wa wanaokufuata pm, wakisha maliza kukupenda ndio nami nitakuja.. maana utadhani JF hakuna warembo wengine[emoji23][emoji23]
Vannyboy unamatatizo sana
Usalama ukiwa kwako na kwangu upo vilevile. Ila kuna kitu kimoja naomba unisaidie.
Najua kwamba macho yangu hayakuoni na roho yangu haikugusi huko ulipo. Lakini tatizo lipo kwenye moyo, naomba unisaidie katika hili.
Hahaha! Umejaribu ila sivunjiki moyo ki hivyo. I don't quit easily.Hua tunapowinda tunakimbiza tetere kimya kimya bila kupiga kelele.. Yuko pm kwangu ananibebisha
Bwana mkubwa mm sikuvunji moyo haihitaji ushahidi hii..Hahaha! Umejaribu ila sivunjiki moyo ki hivyo. I don't quit easily.
[emoji23][emoji23]Kila mtu anakupendaa nawaona wanavyokuandama nami pia nakupenda ila nimeona nisiongeze msululu wa wanaokufuata pm, wakisha maliza kukupenda ndio nami nitakuja.. maana utadhani JF hakuna warembo wengine
Nimetokea kukupenda. Najua inastaajabisha lakini ndivyo hivyo, ndivyo imetokea.Nikusaidie nini tena mkuu? Niambie kama lipo ndani ya uwezo nitakusaidia
Pole baby ulipocheka hujaumia??[emoji23][emoji23]
Umejua nichekesha usiku huu