Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
261
Reaction score
199
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu alisema:

"Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu"

Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

📍Dodoma-Tanzania
🗓️Januari 29, 2029

———————————————

Amesema hayo wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu.
 
Attachments

  • VID-20260129-WA0040.mp4
    31.5 MB
Shida ya viongozi wa nchi hii matamko ni mengi vitendo ni 0 kabisa!.
 
Watu wanataka mikopo binafsi hio ya makundi imejaa changamoto na urasimu mwingi mno,
 
Back
Top Bottom