dkt. mwigulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu awahakikishia wawekezaji mazingira rafiki ya uwekezaji Tanzania

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 9, 2026 amezungumza na wawekezaji mbalimbali walioshiriki katika Kongamano la Kimkakati la Uwekezaji na Masoko ya Fedha, lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Citi Bank nchini Uingereza. Katika Kongamano hilo, Dkt. Mwigulu amewaeleza wawekezaji...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu afanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam

    aziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Oktoba 5, 2026, amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam, Mhe. Nguyen Hong Dien, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), kando ya Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU). Viongozi hao wamejadili namna ya...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, alivyowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ambapo amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, alivyowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ambapo amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani IPU. Mkutano huo unaofanyika leo Oktoba 5, 2026 jijini Arusha...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu mgeni rasmi harambee ya maendeleo KKKT

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Jumatatu Oktoba 5, 2026, ni mgeni rasmi katika harambee ya kuchangia maendeleo ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, ikiwemo kuboresha vituo vya huduma na shughuli za diakonia. Harambee hiyo inafanyika katika...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mwigulu asisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini kwa kutumia mikataba rasmi, akisema hatua hiyo itasaidia kuweka wazi makubaliano ya pande zinazohusika na kuzuia migogoro. Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania DKT. MWIGULU: TANZANIA NA QATAR BADO TUNA FURSA NYINGI ZA KIUCHUMI

    Apigia chapuo utekelezaji wa DIRA 2050 WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema bado kuna fursa nyingi za ushirikiano wa kiuchumi baina ya Taifa la Qatar na Tanzania ambazo zikitumiwa vizuri zitawanufaisha raia wa nchi zote mbili. “Bado tuna fursa nyingi ambazo tunaweza tukanufaika nazo kama...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu akutana na Waziri Mkuu wa Qatar

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumatatu, Septemba 28, 2026, amefanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Qatar ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar, Sheikh Mohammed bin Abdulrahman bin Jassim Al Thani, katika Ofisi ya Waziri Mkuu wa Qatar, jijini Doha. Katika mazungumzo hayo, viongozi...
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu atembelea maktaba ya taifa ya Qatar

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumapili, Septemba 27, 2026, ametembelea Maktaba ya Taifa ya Qatar (Qatar National Library) jijini Doha, Qatar. Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu amepokelewa na Rais wa Maktaba hiyo, Dkt. Mohamed Bin Ahmed Bin Twar Al Kuwari, na kupata fursa ya kufahamu...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Tunzeni uaminifu na jina la nchi yetu, fanyeni kazi kwa bidii

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania wanaofanya kazi nje ya nchi watunze uaminifu na wafanye kazi kwa bidii ili wasiliharibu jina zuri la Tanzania. Alitoa kauli hiyo jana jioni (Jumamosi, Septemba 26, 2026) wakati akizungumza na madareva wa Kitanzania zaidi ya 500 walioajiriwa...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu ahimiza ushirikiano wa kikanda kudhibiti magonjwa ya mifugo

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na FAO, Shirika la Afya ya Wanyama Duniani (WOAH), Umoja wa Afrika, jumuiya za kikanda, na wadu wengine katika kuimarisha uwekezaji na mifumo ya kudhibiti magonjwa ya mifugo kwa lengo la kuchangia kutokomeza Sotoka ifikapo...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu ateta na Waziri wa Afya wa Tunisia

    𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗧𝗘𝗧𝗔 𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗪𝗔 𝗔𝗙𝗬𝗔 𝗪𝗔 𝗧𝗨𝗡𝗜𝗦𝗜𝗔 Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Waziri wa Afya wa Tunisia Mustapha Farhan ambapo wamejadili kwa kina uwezo wa kuzalisha wa dawa ndani ya nchi, tiba ya mionzi na tiba kwa njia wa mtandao. Dkt. Mwigulu amesema kuwa katika hali ambapo...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu ahimiza ushirikiano wa kikanda kudhibiti magonjwa ya mifugo

    ▪︎ EU kuwekeza Euro milioni 50 kusaidia kutokomeza sotoka barani Afrika WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na FAO, Shirika la Afya ya Wanyama Duniani (WOAH), Umoja wa Afrika, jumuiya za kikanda, na wadu wengine katika kuimarisha uwekezaji na mifumo ya...
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Uwezeshaji wa wanawake ni uwekezaji katika afya moja

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba alisema uwezeshaji wa wanawake wakulima ni uwekezaji katika utekelezaji wa dhana ya Afya Moja, kutokana na nafasi yao katika uzalishaji wa chakula, ufugaji, lishe, afya ya mifugo, usalama wa chakula na utunzaji wa mazingira. “Wanawake hawapo pembezoni mwa...
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu awasili Roma, italia kumwakilisha Rais Samia suluhu Hassan

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Roma, Italia, leo, Septemba 20, 2026, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Kimataifa wa Afya Moja na Mifumo ya Chakula na Kilimo (One Health), utakaofanyika Septemba 21–23, 2026...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu afanya mazungumzo na Rais wa CAF, Dkt. Patrice Motsepe

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 17, 2026 amefanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dkt. Patrice Motsepe, ofisini kwake Magogoni, jijini Dar es Salaam.
  16. H

    JamiiForums Tanzania Sio kila kiberiti nichakutikisa, vingine nivya gesi, vitakulipukia - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.

    Sio kila kiberiti nichakutikisa, vingine nivya gesi, vitakulipukia - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. Ametoa kauli hiyo jana (Jumanne, Septemba 15, 2026) wakati akizungumza na wananchi wa Bariadi Mjini, mkoani Simiyu katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya CCM Saba Saba.
  17. H

    JamiiForums Tanzania Kitambulisho chenyewe kama nchi tumeingia gharama, tumeahirisha baadhi ya shughuli za maendeleo ili tutoe - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Kitambulisho chenyewe kama nchi tumeingia gharama, tumeahirisha baadhi ya shughuli za maendeleo ili tutoe vitambulisho. Lakini tunapokuwa tumetoa kitambulisho, halafu mhusika haendi kuchukua, haya ni mambo ambayo yanakwamisha malengo mapana - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. Amesema hayo...
  18. H

    JamiiForums Tanzania DKT. MWIGULU: NDANI YA WIKI MOJA TUTACHUKUA HATUA KUSHUSHA BEI YA SARUJI

    DKT. MWIGULU: NDANI YA WIKI MOJA TUTACHUKUA HATUA KUSHUSHA BEI YA SARUJI WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ndani ya wiki moja, Serikali itachukua hatua ya kuhakikisha bei ya saruji inakuwa himilivu kwa wananchi, baada ya kubaini malalamiko ya kupanda kwa bei ya bidhaa hiyo katika mikoa...
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Ndani ya wiki moja tutachukua hatua kushusha bei ya Saruji

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ndani ya wiki moja, Serikali itachukua hatua ya kuhakikisha bei ya saruji inakuwa himilivu kwa wananchi, baada ya kubaini malalamiko ya kupanda kwa bei ya bidhaa hiyo katika mikoa mbalimbali nchini ikiwemo Simiyu. Ametoa kauli hiyo jana (Jumanne...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Tutengeneze mabilionea watanzania kupitia madini

    DKT. MWIGULU: TUTENGENEZE MABILIONEA WATANZANIA KUPITIA MADINI ▪️Awataka vijana kuchangamkia fursa ▪️Aagiza leseni zisizoendelezwa zipewe vijana WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka vijana wa Kitanzania wachangamkie fursa zilizopo katika sekta ya madini ili wanufaike na utajiri wa...
Back
Top Bottom