NIMEDHAMIRIA KUMTEKETEZA BOSI WANGU!!!!!!!!!! For GOOD!

Uje nikuoe tu wewe hizo shida zako ziishe then nakufungulia bzness u run achana na mambo ya kuajiliwa binti,ni pm nikuelekeze namna ya kuanzisha kiwanda cha kutengeneza midoli.bzness plan,financing market zote ntakusaidia,ila tu ukubali uwe wangu

Hahahaaaaaaaa! Leo nivokuwa HIGH!!!! Usinipimie kabisaaaaa! Waweza shangaa watu kwanini wavuta bange, ila yakikukuta unaagizia MISUBA MIWILI fasta ya kupunguza mawazo!
 
kweli mkuu mabosi wengi vimeo mi leo nimemlima bosi wangu barua anipe vipengele vinavyonizuia kupata bonus wakati kila kitu kiko byeee na taratibu zipo...

Exactly what i was looking for!!!!!!!!! Finally mwanga umeanza kuja! Eeeeh Mkuku nijuze zaidi juu ya hilo jungu kuu interms of Barua!!!!!!!!!!! Nipe main ponts na grouns for arguments!!!!!!!!

Umenipa wazo la kukinukishaaaaaa! Nawashawaishi watu wote kila mtu aandike email yake afu TUNACOPY KUANZIA MD, HADI OWNERS NA PARTNERS!!!!!!!!! Kila mtu aelezee kutoridishwa na grading na tunataka justifications za kunyimwa Bonus!!!!!!!!!!! TNATAKAAAAAA ! HAKI YETUUUU! Weweeeeeeeeee! Haponi mtu!

Aiseeeeeeeeeeee! BIG UP SANAAAAAAAAAA! Umenipa pa kuanzia, ngoja niitishe kikao cha dharura chooni!!!!!! CHEZEYA POWER OF MANY AGAINST 1!!!!!!!!!! I SEE SOMEBODYS END NEAR!!!!!!!!!!!!!

Aiseee ON BEHALF YA WANYONGE WENZANGU NAKUTUNUKU SHAHADA YA HESHIMAAA!!!!!!!!! Yaani u jst solved it like that!!!!!!!! Kumbe tunaweza kupata Bonus atlast!!!!

KWELI MAJUNGU NI MTAJI!!!!!!!
 
Afu wakuu mnaoshabikia UKUDA wa hivi vibosi uchwara mnaniuziiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!! Embu oneni makampuni kibao watu wazima na ndevu zao wanaendeshwa kama gari bovu na WAHINDI, WAKENYA, WAZUNGU!!!!!!!!!1 Yaani mtanzania hana haki kabisaaaaaaaaaaa! Bonus watu kupata hadi wageni wajisikie!!!!!!!!!!!!

Nchi yetu mijitu inakuja inachuma afu sisi tunamalizana wenyewe kwa wenyewe, Kama mburula katupa grade ndogo, kesho post ile analetwa mkenya sie tupo tuuuu, n yet watu wengine humu wanawaunga mkonooo? Tena hao waunga mkono wazazi kutwaaa wanatumikishwa kwa wahindi!!!!!!!!!!

I say bullshit!!!!!!! Hakuna kundeleza unyonge!!!!!!!! Nchi yetu wenyewe alafu tunaishi kama wakimbizi, Mambo majungu tu, toeni taarifa TRA,NSSF na midili yao yote. Wao si wanatunyanyasa!!!!!!!! Na huyu bosi nishamchomea LOANS BOARD alipe miela ya watu aliyojilia! Ada ya cambridge sijui ataimaliza lini!!!!!!!!! Bora akilipa mkulimammoja atasoma! NYAMBAFFFFF!

Na nyie MABOSS punguzeni basi SHAZIII kidogo, Sawa nyie mmepewa na sie tumenyimwa ndio! Ila mjue wewe kuwa Bosi sio Owner!!!!!!1 Na wewe ni mpitaji tuu kama sie so usijishaue sana, kesho hata wewe unaweza usiwepo!!!!!!!!! Tupite sote kwa amani!!!!!!!!! Na pesa tusipoila sie wabongo wenzio huipati wewe, na ndo tutakuvamia na AK 47 usiku na kukukombea vijisamani vyako ndani, Pesa ile inakuwa expatriated hivihivi wkt uchumi wauona wazama!!!!!!!!!! Kuweni wazalendo kidogo.
 
Yaani lala bado unaangaika nao, mwenzako nimepewa good ili nipata kibonas kiduchu,, eti nachelewesha report,,, nikamwangalia as tulikuwa tunajaza kwa kujadiliana ni mkenya flani hivi,, sasa nilichofanya kesho yake nikaja na gari moja matata sana although sio yangu ni ya mzee, nikamziba nyuma,, ili ajue sina njaa na sijaumia na ki bonas chake kumbe moyon imeniuma na kiukweli lilimshuka tu,,, then nikarud kwenye ki corolaa changu after some days na sababu ni MKenya nimepanga kumletea uhamiaji ijumaa waje wamkague kama ana vibali vya kufanya kazi nchini hapa... Ndo atajua watoto wa kiswahili hatunaga masikhara as namwangalia tu
 
Hahahaaaaaaaaaaa! Safi sana aisee, uhamiaji ndo dawa yao!!!!!!!!!!! Unaweza muwekea mtu sumu kwenye water dispencer!!!!!!!!! Nimechukiaaaaa we acha tu!! Ofisini kila mtu wa idara yetu anawaza ATALIPAJE KODI wakati nooo bonas!!!!!! Maisha yamevaa bukta!!!!!!!!!!
 
Sasa wewe si huwa unajifanya bandiduuuuuu!!!!!mi BANDIDU wa MABANDIDU!!!!

mwaka huu nitakuonyesha kila aina ya rangi na oune maisha magumu, mi niliongea na ww vizuri
kabla hata hatujafikia muafaka naona umekuja kunianika huku!!!

sasa ninamikakati ifuatayo!!
1. nitakulipua kwenye kikao kijacho kuwa unatumia muda wa ofc na resource km comp. internet, printer na karatas for personal use wakati tulishalikataza, (unavitumia kwa shuhuli za kimasomo)

2.Nimegundua kuwa unajisomesha full time/ so muda mwingi haupo ofcin upo chuon ( hapa nafuatilia ili nipate reg # yako km ushaid) alafu tutakushuhulikia accordinly

3. Mda mwingi wa kazi unautumia kuchati ktk mitandao ya kijamii (fj, facebk, twiter, jagoo, tagged etc) ushahid upo kupitia kwa IT wetu, alaf kuna clip moja tuliibamba kwenye pc yako ndo nitakayo itumia kukulipua !!!!!!(MIE BANDIDU!!!!

4. ww muda mwingi unautumia kuongea na sim ofcin badala ya kuchapa kazi, wenzio wamelalamika saaaana.

5.Si unajua mkataba wako unakaribia kuisha? subir uone what next.

sasa ww unataka upate excellent wakati hukai ofcin, hebu kaangalia perfomance ya rafk yako Sophy!!!! excellent anajua wajibu wake.

usipobadilika hapa utapaona pachungu!!! Ila ushachelewa!!!! MIE NDO BANDIDU
tehtehtehtehtehtehtehteh!!!!!!!!
 
Huyu mburula weeee acha tu! Yaani hadi upate hata kitu kidogo UNTIL HE SAYS SO!!!!!!!!!! Kamtu kamoja kanacontrol watu kibao!!!!!!!!! Jst because he got them certificates!!!!!!!! Shule nzuriiiii jamani! Wapelekeni wanenu Maulaya uko wasije kuwa kama Lara, wananyanyasika bila sababu.

Lara 1 achana naye hastahili your precious time,ni kama looser mwingine yoyote peoople
 
kweli mkuu mabosi wengi vimeo mi leo nimemlima bosi wangu barua anipe vipengele vinavyonizuia kupata bonus wakati kila kitu kiko byeee na taratibu zipo...

mimi haipiti siku sijatafuta kazi mitandaoni au sehemu nyinginezo, ningekua sijasoma labda ningalihisi nanyanyaswa kwa kuwa elimu ndogo, hizo bonus mie huwa nazisikia tu...
 
Sasa wewe si huwa unajifanya bandiduuuuuu!!!!!mi BANDIDU wa MABANDIDU!!!!

mwaka huu nitakuonyesha kila aina ya rangi na oune maisha magumu, mi niliongea na ww vizuri
kabla hata hatujafikia muafaka naona umekuja kunianika huku!!!

sasa ninamikakati ifuatayo!!
1. nitakulipua kwenye kikao kijacho kuwa unatumia muda wa ofc na resource km comp. internet, printer na karatas for personal use wakati tulishalikataza, (unavitumia kwa shuhuli za kimasomo)

2.Nimegundua kuwa unajisomesha full time/ so muda mwingi haupo ofcin upo chuon ( hapa nafuatilia ili nipate reg # yako km ushaid) alafu tutakushuhulikia accordinly

3. Mda mwingi wa kazi unautumia kuchati ktk mitandao ya kijamii (fj, facebk, twiter, jagoo, tagged etc) ushahid upo kupitia kwa IT wetu, alaf kuna clip moja tuliibamba kwenye pc yako ndo nitakayo itumia kukulipua !!!!!!(MIE BANDIDU!!!!

4. ww muda mwingi unautumia kuongea na sim ofcin badala ya kuchapa kazi, wenzio wamelalamika saaaana.

5.Si unajua mkataba wako unakaribia kuisha? subir uone what next.

sasa ww unataka upate excellent wakati hukai ofcin, hebu kaangalia perfomance ya rafk yako Sophy!!!! excellent anajua wajibu wake.

usipobadilika hapa utapaona pachungu!!! Ila ushachelewa!!!! MIE NDO BANDIDU
tehtehtehtehtehtehtehteh!!!!!!!!

Hahahaaaaa! Umenistuaaaaa! Ulivomtaja Sophy kidogo nijue Diaspora nini? Ila ulivosema Sophy excellent ndo umeharibu, SOPHY YUKO DANGER ZONE!!!!!!!!!! Anangoja wamu extend probation yake again!!!!!!!!! Miaka 2 kila probation ikiisha inaextendiwa!!! Majungu ya hii ofisi ni noma!!!!!!!!!!
 
mleta mada yawezekana kabisa una madai ya msingi. Lakini ktk kufuatilia jichunge usichanganye HAKI, MAZOEA, WRONG CROWD.
 
Exactly what i was looking for!!!!!!!!! Finally mwanga umeanza kuja! Eeeeh Mkuku nijuze zaidi juu ya hilo jungu kuu interms of Barua!!!!!!!!!!! Nipe main ponts na grouns for arguments!!!!!!!!

Umenipa wazo la kukinukishaaaaaa! Nawashawaishi watu wote kila mtu aandike email yake afu TUNACOPY KUANZIA MD, HADI OWNERS NA PARTNERS!!!!!!!!! Kila mtu aelezee kutoridishwa na grading na tunataka justifications za kunyimwa Bonus!!!!!!!!!!! TNATAKAAAAAA ! HAKI YETUUUU! Weweeeeeeeeee! Haponi mtu!

Aiseeeeeeeeeeee! BIG UP SANAAAAAAAAAA! Umenipa pa kuanzia, ngoja niitishe kikao cha dharura chooni!!!!!! CHEZEYA POWER OF MANY AGAINST 1!!!!!!!!!! I SEE SOMEBODYS END NEAR!!!!!!!!!!!!!

Aiseee ON BEHALF YA WANYONGE WENZANGU NAKUTUNUKU SHAHADA YA HESHIMAAA!!!!!!!!! Yaani u jst solved it like that!!!!!!!! Kumbe tunaweza kupata Bonus atlast!!!!

KWELI MAJUNGU NI MTAJI!!!!!!!

pole sana la msingi kama unajua ulichapa kazi vizuri huna worning yoyote Andika barua ukielezea utendaji wako na mahudhurio yako kazini kwamba hukuwa mtegaji wala mtu wa kuumwaumwa kila mara, ulikuwa unapiga mzigo mpaka overtime, peleka kwa bosi wake ikigoma hiyo mtegeshee ule wa Tunda la katikati liwalo na liwe.
kwa maoni zaidi Nipm...#hahahahaha
 
Sasa wewe si huwa unajifanya bandiduuuuuu!!!!!mi BANDIDU wa MABANDIDU!!!!

mwaka huu nitakuonyesha kila aina ya rangi na oune maisha magumu, mi niliongea na ww vizuri
kabla hata hatujafikia muafaka naona umekuja kunianika huku!!!

sasa ninamikakati ifuatayo!!
1. nitakulipua kwenye kikao kijacho kuwa unatumia muda wa ofc na resource km comp. internet, printer na karatas for personal use wakati tulishalikataza, (unavitumia kwa shuhuli za kimasomo)

2.Nimegundua kuwa unajisomesha full time/ so muda mwingi haupo ofcin upo chuon ( hapa nafuatilia ili nipate reg # yako km ushaid) alafu tutakushuhulikia accordinly

3. Mda mwingi wa kazi unautumia kuchati ktk mitandao ya kijamii (fj, facebk, twiter, jagoo, tagged etc) ushahid upo kupitia kwa IT wetu, alaf kuna clip moja tuliibamba kwenye pc yako ndo nitakayo itumia kukulipua !!!!!!(MIE BANDIDU!!!!

4. ww muda mwingi unautumia kuongea na sim ofcin badala ya kuchapa kazi, wenzio wamelalamika saaaana.

5.Si unajua mkataba wako unakaribia kuisha? subir uone what next.

sasa ww unataka upate excellent wakati hukai ofcin, hebu kaangalia perfomance ya rafk yako Sophy!!!! excellent anajua wajibu wake.

usipobadilika hapa utapaona pachungu!!! Ila ushachelewa!!!! MIE NDO BANDIDU
tehtehtehtehtehtehtehteh!!!!!!!!

...ngoma inogile! Tutasubiri FEEDBACK!
 
sasa wewe kama ni hivyo na mimi nimfanyeje bosi wangu ambae ni shirika la misaada ya kimaendeleo kwa ndugu zangu Watanzania lakini huyu mpuuzi amejipangishia kwenye nyumba ya million mia moja na kidogo, Prado ya milion mia themanini na akienda kwenye mikuatano au hata kwa mashoga zake gari haizimwi kiyoyozi hadi arudi?? What pains hataki hawa supporting staff kmaa drivers wapate overtime kisa eti shirika halina pesa!!!!!!!!!!!!

Kuna dereva wa kuchukua watoto wake shule, kuna dereva wa kwenda sokoni aboiut four vehicles zinatumika huku watanzania kibao wakiendelea kuumia kwenye lindi la umaskini na magonjwa, nisaidieni kupata contact person wa USAID nimjulishe na mimi nikusaidie kulipa kisasi
 
Back
Top Bottom