NIMEDHAMIRIA KUMTEKETEZA BOSI WANGU!!!!!!!!!! For GOOD!

NIMEDHAMIRIA KUMTEKETEZA BOSI WANGU!!!!!!!!!! For GOOD!

Wewe naweee ya KAZINI KWENU KUTWA YANAKUSHINDA KAZI KUFATILIA YA KAZINI KWETU!!!!!!!!!! Conrol your Obssession!!!!! Nitatapatapa siku MTU ANAENIWEKA MIJINI (MY DAD), ANALIPA ADA, KODI YA NYUMBA, MATUMIZI, HELA YA BIA N.K NK. ASIPOKUWEPO!!!! The rest can come and go i dont give a F!!!!!
Zinahesabika...... Lara1 mchana mwema!
 
We Lara 1 mi sikuwezi, kwamba utamjungua hadi akome,
Jana nilikuona sehemu unasema unaenda kukopa mtaji wa vitumbua, mi nakushauri kakope ujiajiri mwenyewe uachane na huyo Boss mnonko

Kuna mtu nae kajaziwa ufyorooo naona kazama ZOOM kusaka kazi, mapemaaa!!! LOL! Macho mekundu kwa kilio. Chezea Xmass bila Bonus na familia!!!! I guess some run some of gotta stay n fight back!!!! Huyu si mtu wa kutafuta nae suluhu!!! Dawa ni kumkomesha tu!!!! Sawa mie sina vyeti vya HAVARD, CAMBRIGE,OXFROD na midude gani huko ila silaha yangu ni MAJUNGU TUUUU! Nitamjungua mpaka atanikoma! Im officialy diging the dirty in his past. every body got a past and PEOPLE HAVE THE RIGHT TO KNOW!!!!!!!!

Ngoja nikatulize maumivu na SAINT ANNA NA KONYAGI ZINGA KUBWAAAA manake bila hivo MUDDER CASE inaninyemelea! (May be Saint Anna has a solution) Nitarudi Usiku kumalizia Hasira zanguuuuu! Shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiit!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! UJENZI MWEMA WA TAIFA!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wakubwa zangu shikamooni! Peopleeeeees Niajeeeeeeeeeeeeeee!

This thread aint about peace or love! Neither is it about unity or forgiveness! Its about REVANGE!!!!!! Revange n nothing bt Revange!!!!!!!!!!!!

Kama mnavojua vita vyangu na Boss mburula leo vimefikia pabaya sanaaaaa! Yaani leo tumedelare war wazi wazi. Im detemined to do whatever it takes to take over his post, status and destory him for good!!!!!!!(Im doin this for me n for the others) Can u imagine mtu anakujazieni PEF hovyooo hovyooo ili tusipate BONUS na PROMO????!!!!!, na anajua maisha yetu ya kuunga unga, wengine wanafamilia zinawategemea!!!!!!!!!!! Sikukuuu na familia bila Bonus!!!!!!!!!!! Damn!!!!!!!!

Leo bosi kanijazia Performance Evaluation Form, Kanilima mi average na more effort needed mwanzo mwisho!!!!!! Good moja tu!!!!! Can u imagine what this MF did? And he was LAUGHING while filling the stupid report!!!!!!!!!!! Jasho lilianza kunitoka, then likakatika nikaanza kuhisi baridi na homa! WTF!!!!!!!!!!! Yaaani I KISSED THAT PROMO AND THE BONUS GOOD BYE!!!!!!!!!! This cant go unpunished!!!!!!!! Alivomaliza nikamwambia we will see who laughs last and long!!!! Akaniambia is that a threat? Nikamwambia its compliment! Enjoy it while it lasts!!!!!!!!

Sasa hapa nishaona nikiendelea kucheka na nyani nitavuna mabua!!!!!!!! Jst imagine hapo tu kasenior ndo kanialshabab namna hiii! If i sit back n do nothing akifikia level za Directoriate si ndo ataturn my life to a living hell!!!! The best option ni to stop him from gettin on the top. SIJUI NIKAMTOE SHIPA TU AWE ANAKUJA NA MSULI OFISINI!!!!!!! Damn!!!

Kuna mtu nae kajaziwa ufyorooo naona kazama ZOOM kusaka kazi, mapemaaa!!! LOL! Macho mekundu kwa kilio. Chezea Xmass bila Bonus na familia!!!! I guess some run some of gotta stay n fight back!!!! Huyu si mtu wa kutafuta nae suluhu!!! Dawa ni kumkomesha tu!!!! Sawa mie sina vyeti vya HAVARD, CAMBRIGE,OXFROD na midude gani huko ila silaha yangu ni MAJUNGU TUUUU! Nitamjungua mpaka atanikoma! Im officialy diging the dirty in his past. every body got a past and PEOPLE HAVE THE RIGHT TO KNOW!!!!!!!!

Kama nilivosema THIS THREAD IS ABT REVANGE AND NOT FORGIVENESS naomba kwa wale mnaonyanyasika kama mie huko maofisini mnipe Dawa ya kumtibu huyu kisirani huku. Wenzenu twafaaaaa! Kuna watu wanfamilia zinawategemea nao wananitegemea mie kumtibu huyu mgonjwa kisirani manake wote tumekalia kuti kavu nae ndo kashika panga analikata hivoooo. KUFA HATUFI ILA CHA MOTO TWAKIONA WENZENU!!!!!!!!!

Ngoja nikatulize maumivu na SAINT ANNA NA KONYAGI ZINGA KUBWAAAA manake bila hivo MUDDER CASE inaninyemelea! (May be Saint Anna has a solution) Nitarudi Usiku kumalizia Hasira zanguuuuu! Shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiit!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! UJENZI MWEMA WA TAIFA!!!!!!!!!!!!!!!

Kinachonikwaza kwa watz wengi kwenye maandiko na sauti zao kumekuwa na kasumba ya kitumwa/ukoloni mamboleo ya kuchanganya mafuta ya taa na mafuta ya kula/kupikia kisha kuwauzia watz!

Hivi ukiandika kiswahili tu watu hawatakuelewa? Au ungetumia kimalkia tu wapenda utumwa hawangekuelewa?

Daaha mungu tuokoe watu tuipende lugha yetu adhimu ya KISWAHILI
 
lara 1, Hao maboss wako kila sehemu, Mm pia nipo kwenye shirika fulani la Umma , na kuna wakati nilikuwa sipandi cheo kwa muda wa miaka 5 , wenzangu wanapana na nimewapita elimu na uafanyaji wa kazi lkn ilikuwa ni roho yake tu. Kuna siku nilimfuata ofisini kwake nikamwambia cheo ni dhamana na iko siku ataondoka kwenye kiti kwa nia yoyte either kufa, kufukuzwa , au Mungu akimsaidia atastaafu .
lkn Mungu mkubwa haikufika hata mwaka baada ya mm kumfuata kulalamikia akafukuzwa na BODI kwa manufaa ya shirika na sasa anataabika sana.

So Lara1 Muombee Adui yako aishi siku nyingi ili aone wakati unafanikiwa na usimchukie wewe ongea naye na cheka naye kama kawaida mungu ndiye mtoa hukumu.
 
Pole sanaaa! Daaaah! Kumbe hawa watu hata kwenu wapoooo!!!!!!!!! Dah! I feel your pain! BUT I aint no ANGEL like you, sitting back, doing nothing, waiting for the impossible to happen!!!!!!!!!! NOP! If i do that my concious will kill me! Yaani NITAKUWA NAOTA USIKU BOSI ANANIPA BARUA YA KUNIFUKUZA KAZI!!!!!!! lol! Mambo gani ya kuota maruwe ruwe? Heri nimshughulike baaaaaaaass!!!!!! I can live with myself even knowing what i did wasnt good but necessary!!!!! HAPA NISHATUMA EMAIL YA KUOMBA JUSTIFICATIONS ZA KUNYIMWA BONAS, NA KUPEWA GRADE NDOGO WKT DATA ZIPO!!!!! Ndo nimejua ofisini watu wanapenda umbea!!!!!! Bosi kubwa kaniita kuniuliza vipi tena mbona naona vita baridi vya email vimeanza!!!!!!? Mtoto mdogo ila kauzu kweli wewe! Nikamwambia IM JUST LOOKING OUT FOR MY SELF!!!!!!!
 
Kinachonikwaza kwa watz wengi kwenye maandiko na sauti zao kumekuwa na kasumba ya kitumwa/ukoloni mamboleo ya kuchanganya mafuta ya taa na mafuta ya kula/kupikia kisha kuwauzia watz!

Hivi ukiandika kiswahili tu watu hawatakuelewa? Au ungetumia kimalkia tu wapenda utumwa hawangekuelewa?

Daaha mungu tuokoe watu tuipende lugha yetu adhimu ya KISWAHILI

I appreciate your concern ila ITS A FREE COUNTRY!!!!!! I write how i feel like writting okay! Haijakatazwa KIKATIBA wala sio DHAMBI kuchanganya lugha, as long as it works out for me naandika vile najisikia. Na wewe andika unavojisikia as i said ITS A FREE COUNTRY!!!!!!!!!
 
Zinahesabika...... Lara1 mchana mwema!

KELELE ZA CHURA HAZIMZUII TEMBO KUNYWA MAJI NA DUA LA KUKU KAMWE HALIMPATI MWEWE!!!!! (Lingekuwa linampata Boss asingekuwepo ofisini kwa midua tunayombombea ila ndo kwanza ananenepa!!!! lol!)
 
Una hasira kweli!!!

Nina hasira kweli kweli UTUMWA WA NCHI NYERERE AMEUKOMBOA alafu watu wanaurudisha!!!!!!!! Sasa jitu linaona maisha yamevaa Bukta, watu wamekuwa KOPAKOPA UTD, tena tunafamilia, Fungu limetolewa kutupoza kidogo na machungu ya mwaka mzimaaaa! Alafu libongo jenzetu LINATUBANIAAAAAA!!!!!!!!!!! Yani hiyo mbesa kuliko tuile sie wabongo wenzie heri iwe EXPATRIATED!!!!!!!!!!!!! Damn!!!!!!!!!!!! Yaani kila nikiona ile Water n Coffee dispencer yake NASHAWISHIKA KUDONDOSHEA HATA KETE YA COCAINE/HEROINE TU ili awe teja kama Lord Macho baaaaaaaass!!!!!!!! Kulipunguzia taifa hasara. Mbongo mwenzetu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kabla sijaelewa haka kamada nilizani Boss wa janvini hapa hihihihi.
Pole sana my dear, ingawa ni ngumu kuna kamsemo kanasema Usilipize baya kwa baya....akifunga mlango wako Mwezi atafungu madirisha.
 
naomba access ya kutumia haya maneno kama signature
''Dont argue with fools because they will drag to their level and beat with experience''

Mkuu tumia tu, niliona hiyo quotation sehemu ila simkumbuki author,ndio maana umeona pale nimejaribu kuheshimu hilo walau kwa kuweka neno "author"!
 
Kinachoniuma ni kuwa HE WILL BE DOING THE SAME THING OVER N OVER!!!!!!!!! JST BECAUSE HE CAN!!!!!! Not taking action manake nimekubali kuwa MNYONGE wake mpaka atakapojisikia kuacha kunionea!!!!!!!! Damn! What a misarable life!

The problem is u want things to happen very fast as if he is not a human try to use diplomasia way of solving things, pia inawezekana wakati unamkatalia ulimkatalia not in a good way, 4 what I understand ivyo vitu vipo makazini but unapomkatalia mtu, mkatalie kwa njia ambayo in a logic way ili baadae awe ur best friend if not muwe mnaeshimiana 4 Good.
 
KELELE ZA CHURA HAZIMZUII TEMBO KUNYWA MAJI NA DUA LA KUKU KAMWE HALIMPATI MWEWE!!!!! (Lingekuwa linampata Boss asingekuwepo ofisini kwa midua tunayombombea ila ndo kwanza ananenepa!!!! lol!)

Hahahaaaaa Lala 1, hapo umesema! Ki ukweli wewe kikazi hufai labda ubadilike kabisa kimtizamo!
Hata hivyo nimefurahi kwa comment yako hii Hasa kwenye mabano!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Watu na mie twahitaji NAFASI KIDOGO TU TUHEME!!!!! TUPUMUE!!!!!!!!!!!! KUJA OFISINI IMEKUWA KAMA KWENDA LABOUR!!!!! HATUJAMBII KWA RAHA, HATUPUMUI!!!!!!!!!! KAMA ENZI ZA UTUMWAAAAA! People need freedom, security, peace! Yaani unafanya kazi ukihisi kesho waweza uwe juu ya mawe kwa fitina za jitu moja!!!!!!!!!

poleni kwa yote ila umoja ni nguvu, kuliko kutaka kufight peke yako,
 
muuza ubuyu naomba kura yako miss chit chat!
Hahahaaaaa Lala 1, hapo umesema! Ki ukweli wewe kikazi hufai labda ubadilike kabisa kimtizamo!
Hata hivyo nimefurahi kwa comment yako hii Hasa kwenye mabano!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Huyu bosi vita yetu ilianza kutokana na Kugoma kuwa kiburudisho chake!!!!!!!!!!!!!!!!!! Sasa hata nifanyaje ananikomoa!!!!!!! Aghhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!! Ngoja nimuwahi Saint Anna manake nyie maboss U CAN NEVER UNDERSTAND!!!!!!!!!!!

Sasa tumia simu yako ya mchina kukusanya evidences kwa kurekodi matukio yote then uje umwangamize vizuri kabisa kwenye mashitaka. Kumbuka kuback up records zako kwenye flash disks za nyumbani na za mbali ili akishitukia akakunyanga simu haitasaidia sana. Nakuunga mkono kwa huyo boss akomeshe ila kwa style ya kumsogeze karibu na kisha kumkomesha . Pole sana mpendwa.
 
Back
Top Bottom