Joseph
JF-Expert Member
- Aug 3, 2007
- 3,518
- 1,086
Kunywa wala si suluhisho,kuna namna nyingi za kuweza kupata haki yako bila tatizo,kuna mitego mingi ya maboss ambao wanapenda kutumia nafasi zao vibaya kufanya ngono na wafanyakazi walio chini yao,tengeneza mazingira ya kukubali na andaa vijana wa kufanya kazi mara mtakapofumaniwa(fumanizi feki)wamrekebishe inavyotakiwa huku picha nyingi zikiwa zinachukuliwa na kesho yake azipate ofisini kama kianzio huku mkewe akitarajia kuzipata baadae.
Wengine huamua kabisa kutumia Takukuru ingawa kwangu naona huwa ni kupoteza muda maana kesi za Tanzania zinachosha.
Wengine huamua kabisa kutumia Takukuru ingawa kwangu naona huwa ni kupoteza muda maana kesi za Tanzania zinachosha.