NIMEDHAMIRIA KUMTEKETEZA BOSI WANGU!!!!!!!!!! For GOOD!

NIMEDHAMIRIA KUMTEKETEZA BOSI WANGU!!!!!!!!!! For GOOD!

Wakubwa zangu shikamooni! Peopleeeeees Niajeeeeeeeeeeeeeee!

This thread aint about peace or love! Neither is it about unity or forgiveness! Its about REVANGE!!!!!! Revange n nothing bt Revange!!!!!!!!!!!!

Kama mnavojua vita vyangu na Boss mburula leo vimefikia pabaya sanaaaaa! Yaani leo tumedelare war wazi wazi. Im detemined to do whatever it takes to take over his post, status and destory him for good!!!!!!!(Im doin this for me n for the others) Can u imagine mtu anakujazieni PEF hovyooo hovyooo ili tusipate BONUS na PROMO????!!!!!, na anajua maisha yetu ya kuunga unga, wengine wanafamilia zinawategemea!!!!!!!!!!! Sikukuuu na familia bila Bonus!!!!!!!!!!! Damn!!!!!!!!

Leo bosi kanijazia Performance Evaluation Form, Kanilima mi average na more effort needed mwanzo mwisho!!!!!! Good moja tu!!!!! Can u imagine what this MF did? And he was LAUGHING while filling the stupid report!!!!!!!!!!! Jasho lilianza kunitoka, then likakatika nikaanza kuhisi baridi na homa! WTF!!!!!!!!!!! Yaaani I KISSED THAT PROMO AND THE BONUS GOOD BYE!!!!!!!!!! This cant go unpunished!!!!!!!! Alivomaliza nikamwambia we will see who laughs last and long!!!! Akaniambia is that a threat? Nikamwambia its compliment! Enjoy it while it lasts!!!!!!!!

Sasa hapa nishaona nikiendelea kucheka na nyani nitavuna mabua!!!!!!!! Jst imagine hapo tu kasenior ndo kanialshabab namna hiii! If i sit back n do nothing akifikia level za Directoriate si ndo ataturn my life to a living hell!!!! The best option ni to stop him from gettin on the top. SIJUI NIKAMTOE SHIPA TU AWE ANAKUJA NA MSULI OFISINI!!!!!!! Damn!!!

Kuna mtu nae kajaziwa ufyorooo naona kazama ZOOM kusaka kazi, mapemaaa!!! LOL! Macho mekundu kwa kilio. Chezea Xmass bila Bonus na familia!!!! I guess some run some of gotta stay n fight back!!!! Huyu si mtu wa kutafuta nae suluhu!!! Dawa ni kumkomesha tu!!!! Sawa mie sina vyeti vya HAVARD, CAMBRIGE,OXFROD na midude gani huko ila silaha yangu ni MAJUNGU TUUUU! Nitamjungua mpaka atanikoma! Im officialy diging the dirty in his past. every body got a past and PEOPLE HAVE THE RIGHT TO KNOW!!!!!!!!

Kama nilivosema THIS THREAD IS ABT REVANGE AND NOT FORGIVENESS naomba kwa wale mnaonyanyasika kama mie huko maofisini mnipe Dawa ya kumtibu huyu kisirani huku. Wenzenu twafaaaaa! Kuna watu wanfamilia zinawategemea nao wananitegemea mie kumtibu huyu mgonjwa kisirani manake wote tumekalia kuti kavu nae ndo kashika panga analikata hivoooo. KUFA HATUFI ILA CHA MOTO TWAKIONA WENZENU!!!!!!!!!

Ngoja nikatulize maumivu na SAINT ANNA NA KONYAGI ZINGA KUBWAAAA manake bila hivo MUDDER CASE inaninyemelea! (May be Saint Anna has a solution) Nitarudi Usiku kumalizia Hasira zanguuuuu! Shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiit!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! UJENZI MWEMA WA TAIFA!!!!!!!!!!!!!!!

lara1 na boss wake mhhhh
wewe una .....na yeye anataka mzigo malizaneni bwana kila siku boss boss peaneni mzigo yaishe
 
sijaajiriwa!

Wachaaaaa weeeee!!!! Wewe huyo!!!!!!!!! You are your own boss? Hongera! Mi sipendi kujiajiri, coz ukilala na pesa ndo inalala, too much pressure ya kujituma!!!!! Kuna biashara nafanya inanilipa zaidi ya kazi ila ndo nafanya kwa mazoea, otherwise ningekuwa nayo serious ningekuwa mbali sanaaa. I like to work for others ili hata nikilala nadai changu kama kawaida.!!!!! soo sad!
 
lara1 na boss wake mhhhh
wewe una .....na yeye anataka mzigo malizaneni bwana kila siku boss boss peaneni mzigo yaishe

Hahahahaaaaaaa! Nani alale na bosi akopwe OT!!!!!!!!! Akhaaaaaaaaaa! Baby wangu mzuri kesho jumapili njoo umalizie ile report! Love uuuuuuu! Ndo keshakopwa mtu hapo!!!!!!! Saivi bila kutoka nae swadaktaaaaaa! Ijumaa saa 10 jioni simu inayofahamika ofisini ishazimwa!!!!!!!!! Hapo hadi jtatu saa 2!!!! Watajiju!
 
Hahahahaaaaaaa! Nani alale na bosi akopwe OT!!!!!!!!! Akhaaaaaaaaaa! Baby wangu mzuri kesho jumapili njoo umalizie ile report! Love uuuuuuu! Ndo keshakopwa mtu hapo!!!!!!! Saivi bila kutoka nae swadaktaaaaaa! Ijumaa saa 10 jioni simu inayofahamika ofisini ishazimwa!!!!!!!!! Hapo hadi jtatu saa 2!!!! Watajiju!

Utaishia kutapatapa.. Chezea kibutiiii cha mbavo toka kwa BOSS.....
 
Lala 1 hasira zimepungua leo............maana thread nimesoma mpaka nikakosa cha kuchangia umekuwa na jazba sana
 
Last edited by a moderator:
Sema wewe mwenzanguuuu! Nikisema mie naambiwa muhuni wa mtaani!!!!!!!!! Hawa watu nuksiiiiiii kweli! Mwenyewe BF wangu sijadhubutu kumwambia manake mambo mengne ni kujiaibisha tu!!!!!!!!!! Watu kama hayajawafika wanajifanyaaa wajumvi kweliii wa mambo ila mtu yakikufika ndo chupi inapokubanaaa! Sasa waishije manake mimi kila nikimtizama nawaz SIJUI NIMUUE KWA NJIA GANI!!!!!!!!! NIMUWEKEE SUMU KWENYE CHAI! NIWEKE MAJI YA BETRI KWENYE WATER N COFFEE DISPENCER YAKE PALE OFISINI, AU NIMUEKEE UNGA WA SUMU KWENYE AC YA KIGARI CHAKE, AU NI BARLOW TU YAISHE!!!!!!! Aghhhhhhhhhhhhhhhhhh!
lara 1 dear ni kweli umeumia sana lakini nakushauri usiruhusu chuki kubwa kiasi hicho itawale moyo wako. Hiyo chuki itaishia kukuumiza wewe zaidi badala ya yeye. Kuna member mmoja alikushauri uandike barua kuuliza justification ya kunyimwa bonus huku ukionesha ni kwa nini unastahili kupewa bonus. Achana na fikra za kuua maana zitakuua mwenyewe taratibu bila ya wewe kujua.
 
Last edited by a moderator:
Eti unasubiri bonus kulisha familia wakati wa sikukuu!? halafu unajisifia ujanja ujanja kazin?!

"Don't argue with fools, because they will drag you to their level, and beat you with experience" author..

These words taught me a lot! Kila la kheri.

naomba access ya kutumia haya maneno kama signature
''Dont argue with fools because they will drag to their level and beat with experience''
 
Utaishia kutapatapa.. Chezea kibutiiii cha mbavo toka kwa BOSS.....

Wewe naweee ya KAZINI KWENU KUTWA YANAKUSHINDA KAZI KUFATILIA YA KAZINI KWETU!!!!!!!!!! Conrol your Obssession!!!!! Nitatapatapa siku MTU ANAENIWEKA MIJINI (MY DAD), ANALIPA ADA, KODI YA NYUMBA, MATUMIZI, HELA YA BIA N.K NK. ASIPOKUWEPO!!!! The rest can come and go i dont give a F!!!!!
 
Hahahahaaaaaaa! Nani alale na bosi akopwe OT!!!!!!!!! Akhaaaaaaaaaa! Baby wangu mzuri kesho jumapili njoo umalizie ile report! Love uuuuuuu! Ndo keshakopwa mtu hapo!!!!!!! Saivi bila kutoka nae swadaktaaaaaa! Ijumaa saa 10 jioni simu inayofahamika ofisini ishazimwa!!!!!!!!! Hapo hadi jtatu saa 2!!!! Watajiju![/QUOTE
ok
 
lara 1 dear ni kweli umeumia sana lakini nakushauri usiruhusu chuki kubwa kiasi hicho itawale moyo wako. Hiyo chuki itaishia kukuumiza wewe zaidi badala ya yeye. Kuna member mmoja alikushauri uandike barua kuuliza justification ya kunyimwa bonus huku ukionesha ni kwa nini unastahili kupewa bonus. Achana na fikra za kuua maana zitakuua mwenyewe taratibu bila ya wewe kujua.


Forgiveness is not my style!!!!!!!!!!! Maybe nimpunguzie adhabu kidogo!!!!!!!! I dont agree with the walk away quietly philosophy!!!!!!!!!!! NOP!!!!!!!!!!!!!! The thing is either i take care of them or they take care of me!!!!!! Ishould take care of them while i can!!!!!!!!!!!! THIS THREAD IS ABOUT REVENGE!!!!!!!!!! NOT PEACE OR FORGIVENESS!!!!!!!
 
Kama ni wa jinsia tofauti na wewe hebu jaribu kutembea naye pengine itakuwa ndiyo solution maana kama juhudi za kikazi hazileti matunda huenda kuna jambo

Sasa na huko asipomridhisha si itakuwa balaa maana kama aliambulia che basi atapata De kabisa!
 
Back
Top Bottom