NIMEDHAMIRIA KUMTEKETEZA BOSI WANGU!!!!!!!!!! For GOOD! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NIMEDHAMIRIA KUMTEKETEZA BOSI WANGU!!!!!!!!!! For GOOD!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by lara 1, Oct 30, 2012.

 1. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Wakubwa zangu shikamooni! Peopleeeeees Niajeeeeeeeeeeeeeee!

  This thread aint about peace or love! Neither is it about unity or forgiveness! Its about REVANGE!!!!!! Revange n nothing bt Revange!!!!!!!!!!!!

  Kama mnavojua vita vyangu na Boss mburula leo vimefikia pabaya sanaaaaa! Yaani leo tumedelare war wazi wazi. Im detemined to do whatever it takes to take over his post, status and destory him for good!!!!!!!(Im doin this for me n for the others) Can u imagine mtu anakujazieni PEF hovyooo hovyooo ili tusipate BONUS na PROMO????!!!!!, na anajua maisha yetu ya kuunga unga, wengine wanafamilia zinawategemea!!!!!!!!!!! Sikukuuu na familia bila Bonus!!!!!!!!!!! Damn!!!!!!!!

  Leo bosi kanijazia Performance Evaluation Form, Kanilima mi average na more effort needed mwanzo mwisho!!!!!! Good moja tu!!!!! Can u imagine what this MF did? And he was LAUGHING while filling the stupid report!!!!!!!!!!! Jasho lilianza kunitoka, then likakatika nikaanza kuhisi baridi na homa! WTF!!!!!!!!!!! Yaaani I KISSED THAT PROMO AND THE BONUS GOOD BYE!!!!!!!!!! This cant go unpunished!!!!!!!! Alivomaliza nikamwambia we will see who laughs last and long!!!! Akaniambia is that a threat? Nikamwambia its compliment! Enjoy it while it lasts!!!!!!!!

  Sasa hapa nishaona nikiendelea kucheka na nyani nitavuna mabua!!!!!!!! Jst imagine hapo tu kasenior ndo kanialshabab namna hiii! If i sit back n do nothing akifikia level za Directoriate si ndo ataturn my life to a living hell!!!! The best option ni to stop him from gettin on the top. SIJUI NIKAMTOE SHIPA TU AWE ANAKUJA NA MSULI OFISINI!!!!!!! Damn!!!

  Kuna mtu nae kajaziwa ufyorooo naona kazama ZOOM kusaka kazi, mapemaaa!!! LOL! Macho mekundu kwa kilio. Chezea Xmass bila Bonus na familia!!!! I guess some run some of gotta stay n fight back!!!! Huyu si mtu wa kutafuta nae suluhu!!! Dawa ni kumkomesha tu!!!! Sawa mie sina vyeti vya HAVARD, CAMBRIGE,OXFROD na midude gani huko ila silaha yangu ni MAJUNGU TUUUU! Nitamjungua mpaka atanikoma! Im officialy diging the dirty in his past. every body got a past and PEOPLE HAVE THE RIGHT TO KNOW!!!!!!!!

  Kama nilivosema THIS THREAD IS ABT REVANGE AND NOT FORGIVENESS naomba kwa wale mnaonyanyasika kama mie huko maofisini mnipe Dawa ya kumtibu huyu kisirani huku. Wenzenu twafaaaaa! Kuna watu wanfamilia zinawategemea nao wananitegemea mie kumtibu huyu mgonjwa kisirani manake wote tumekalia kuti kavu nae ndo kashika panga analikata hivoooo. KUFA HATUFI ILA CHA MOTO TWAKIONA WENZENU!!!!!!!!!

  Ngoja nikatulize maumivu na SAINT ANNA NA KONYAGI ZINGA KUBWAAAA manake bila hivo MUDDER CASE inaninyemelea! (May be Saint Anna has a solution) Nitarudi Usiku kumalizia Hasira zanguuuuu! Shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiit!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! UJENZI MWEMA WA TAIFA!!!!!!!!!!!!!!!
   
 2. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kuajiriwa .. Kuajiriwa .. Everybody kuajiriwa .. Hata hamfikirii kujiajiri
   
 3. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mkuu lara 1, punguza jazba..

  I think you meant Revenge and not Revange..Ni ngumu kusema(personally), kwa kuwa hatujui utendaji wako kazini, Bosi ndiye anaoujua..sasa inawezekana amekupa grade giyo kutokana na ulinganifu wa wafanyakazi wenzako(as in unawajibika sana lakini not at the required level)..But on the other side, usimfanyie kisasi(revenge) kuwa mvumilivu kidogo..Most of people don't know how close they are to their goals when they decide to give up!
  Just dont be one of those people dada.
   
 4. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Tugee basi mtaji engineer, unadhani twapenda kuamka saa kumi usiku na kurudi saa 3 usiku kila siku? Shida tu zimetubana hadi kweye makalio!!!!!!!!!! Unzidi kunitia uchunguuuuuuu! Damn!!!!!!!!!!!!
   
 5. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Noooooo! shosti dnt do that plz, calm down kama vp ondoka eneo la tukio take a walk 2calm ur nerves then later i wil advice u wat 2do!
   
 6. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  mbona watoto wavigogo wenye uwezo wakupata mitaji mikubwa wameajiriwa? sio watu wote wenye interp spirit ndugu yangu lol na ndio sababu vidole havilingani mbona wewe umeajiri watu ungefanya mwenyewe kila kitu sasa
   
 7. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Huyu bosi vita yetu ilianza kutokana na Kugoma kuwa kiburudisho chake!!!!!!!!!!!!!!!!!! Sasa hata nifanyaje ananikomoa!!!!!!! Aghhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!! Ngoja nimuwahi Saint Anna manake nyie maboss U CAN NEVER UNDERSTAND!!!!!!!!!!!
   
 8. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  Ciello okoa jahazi hapa nahisi muda si mrefu kuna tanzia itasomeka hivi TANZIA:BOSS WAKE lara 1 ameanguka BAFUNI!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  yes thts wat am tryng 2tel her overreacting isnt going 2help her, najua ana hasira na akifanya lolote kwa hasira hatoachieve lolote, so my shost lara 1 calm down 4now....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Kama ni wa jinsia tofauti na wewe hebu jaribu kutembea naye pengine itakuwa ndiyo solution maana kama juhudi za kikazi hazileti matunda huenda kuna jambo
   
 11. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Pole lara 1, l know what you are going thru coz l am also in the same sh.t.

  Nenda home kapumzike, it will do u good. I can guess unafanya kazi kwenye kampuni mimi kwenye shirika ambalo ni non for profit so mambo mengi ni tofauti.

  Na nakubaliana nawe staying n fight is good. Do chochote lkn usitengeneze uongo coz if u do, it will come back to you.
   
 12. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  mpe KIDUDE tu ataanza kukujazia EXCELLENT kwenye hiyo PEF...kwa nini ufe kwa stress mtoto wa kike wakati rasilimali unayo????
   
 13. awp

  awp JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Pole sana bi dada, hayo ni majaribu tu yatapita.
   
 14. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,325
  Likes Received: 2,620
  Trophy Points: 280
  Asilimia kubwa ya maboss huwa wanakuwa na roho mbaya sana...ili aonekane kafanya kazi basi ni mwendo wa kukandamiza wengine wa chini yake...halafu usiombe uwe unafanya kazi kwenye haya makampuni ya wageni halafu boss ndio bandiduu, ole wako uchelewe hata dakika moja na sababu yako iwe ni traffic jam, mbona kitakushukaaa
   
 15. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mmmh yaani hujameet hata expectation za kampuni?
  mnatumia balance score card sio?
  utakomaje LARA1
  but fanya kazi bwana pia kuwa mtu peace smile!!!!!!!!!!!!!!!!!1
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. muuza ubuyu

  muuza ubuyu JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 2,637
  Likes Received: 742
  Trophy Points: 280
  Marhabaaaaa mdogo wangu!
  Kwanza nadeklea interest: I am employed; but" a well paid slave is still a slave!"
  Huu ***** huwa mwing sana maofisini, hata kama utaacha kazi hapo Lala1, u can go somewhere else and find urself engulfed in a very tough situation than this!
  Vumilia na ufanye kazi kwa bidii na kwa miaka flani tu huku ukiplan to run ur own office, bhasiiiiii!
  Politics is everywhere, there is "office politics", it can even make u Die of stroke! Utamfurahisha sana unapoonyesha kwake kwamba amekuumiza kwani atajua yeye ni mshindi coz lengo lake yeye ni kukuumiza ili asapue "asali" yako!
  Je, pia unaushahidi usio Kuwa na shaka kwamba alikutongoza ukamkataa ndo akaamua kukufanyia hivyo? Mwaga habari hapa tujue kama upo (ushahidi) tangible/intangible! Wanasheria na sisi watu wenye walau kiuzoefu kidogo cha kazini tutaweza kushauri zaidi!

  USHAURI: kabla haujachukua hatua kidogo naomba ujitathimini kwanza utendaji wako wa kazi (usionyeshe kutaka bonus/post kwa sababu tu unauhitaji sana wa pesa bila kujali input yako kwa mwajili wako).

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2012
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,695
  Likes Received: 752
  Trophy Points: 280
  Pole dada mzuri Lara1 kwa jinsi ninavyokupenda jamani sipendi kabisa kusikia unasumbuliwa ningekuwa natoka bagamoyo huyo boss angenitambua pole sana lol, luv u
   
 18. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,723
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  inaelekea wewe kwako rushwa ya ngono ni first priority unapopatwa na matatizo kazini..
   
 19. k

  kamkoda JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 396
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ulichopata ndicho ulichostahili kwa harakaharaka attitude yako kazini inaonekana haina mvuto...utamshushaje mtu mshipa kwa fedha za ziada wakati mshahara unapata na kazi hujafukuzwa? You deserve it.
   
 20. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Watongozwa wenza mnashauriana, safi sana
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...