NIMEDHAMIRIA KUMTEKETEZA BOSI WANGU!!!!!!!!!! For GOOD!

Asilimia kubwa ya maboss huwa wanakuwa na roho mbaya sana...ili aonekane kafanya kazi basi ni mwendo wa kukandamiza wengine wa chini yake...halafu usiombe uwe unafanya kazi kwenye haya makampuni ya wageni halafu boss ndio bandiduu, ole wako uchelewe hata dakika moja na sababu yako iwe ni traffic jam, mbona kitakushukaaa

Yaani UMEJUAJEEEE!!!!! Can you imagine SOME BODY IS DESTROYING YOUR LIVES JST BECAUSE HE CAN!!!!!!!!!!! F*UCK!!!!!!!!! DAWA YAO HAWA MBURULA NI KUWATOA MASHIPA TUUUUU!!!!!!!!!! LASIVO TUTAKUFA TWAJIONA!!!!!!!!!!
 
icho ndo kitu unachoitaji au watu wanachoitaji wewe ufanyeeeee

Watu na mie twahitaji NAFASI KIDOGO TU TUHEME!!!!! TUPUMUE!!!!!!!!!!!! KUJA OFISINI IMEKUWA KAMA KWENDA LABOUR!!!!! HATUJAMBII KWA RAHA, HATUPUMUI!!!!!!!!!! KAMA ENZI ZA UTUMWAAAAA! People need freedom, security, peace! Yaani unafanya kazi ukihisi kesho waweza uwe juu ya mawe kwa fitina za jitu moja!!!!!!!!!
 
pole sana madam Lara 1 tatzo ndo hilo kumbe,the boss of yours deserve no even a little anger of yours,ni mtu mufilisi hasitahli hasira zako hata kidogo,just relax thats total war relax take your time,utafanya vyema tu i have hopes in you i dont doubt even your holiday season itakuwa poa,achana na huyo boss,zidi kutuupdate tutakuwaa tukishauriana cha kufanya humu hamna haja ya kumdestroy aishi tu na siku moja ,God willing aje aone utakavyofanikiwa....

Huyu mburula weeee acha tu! Yaani hadi upate hata kitu kidogo UNTIL HE SAYS SO!!!!!!!!!! Kamtu kamoja kanacontrol watu kibao!!!!!!!!! Jst because he got them certificates!!!!!!!! Shule nzuriiiii jamani! Wapelekeni wanenu Maulaya uko wasije kuwa kama Lara, wananyanyasika bila sababu.
 
Kilaza utamjuaa tu, BOSS wako Hana makos a, wewe mda wa upo JF izo kazi wazifanyaje? Tena mie ningekua BOSS lazima ningekuletea na vitimbwi hadi unipe uwa jekundu maana na ulivyonona Kama samaki wa magufuli ili uendelee na kazi.... Hal wasiishie zoom tu na zingine hizi Rio tinto, Bhp billiton , Extrata pamoja na Schlumbeger wakaseke kazi...

We jitie shabiki maandazi kutiwa amira kijiko kimoja na kuumuka beseni zimaaaaa! NATAMI HATA NIINGIE KWENYE SCREEN NIJE NIKUPE NAKOZZZZZ HUKO ULIKO HADI UTIE AKILI!!!!!!!!!!!!!!!! SURA KA BOSI ANAKUNYA!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
lara 1 serikali ya Tanzania ingekuwa inafuata Performance evaluation nadhani tungekuwa tumeaga umaskini miaka mingi iliyopita. Je unadhani alichokujazia ndicho ulichostahili au amekuwa "bias"?
 
Last edited by a moderator:
lol I dont hope anything to happen.......Ninavyo ku imagine u try so hard to force ur self into that kind of solution but that is not a solution either coz kama m2 kucoment amesha comment try to be kam and think what next 4 good, kwa upande wangu u dont even need to do that try to be very smart ur the lady ambaye naisi uko na ufahamu, I hope u understand long way and short for finding solution

Kinachoniuma ni kuwa HE WILL BE DOING THE SAME THING OVER N OVER!!!!!!!!! JST BECAUSE HE CAN!!!!!! Not taking action manake nimekubali kuwa MNYONGE wake mpaka atakapojisikia kuacha kunionea!!!!!!!! Damn! What a misarable life!
 
LARA 1 Nadhani umeenda kujipongeza baby wewe.....Hongera ...... manake mikwashukwashu yako duhh imenitoa hoi.

Yaani nisikudanganye kama ww unajua kupiga jungu .....jiendee tuu maana kazi ishakushinda.Naamini unapoteza muda na kutulaghai na sisi wenye nishani za kazi utuchefue.Sijapenda sanaaaaaaaaaa vimbwanga vyako ofisini kwani kauli tu zinaonyesha huyo kibosile ulimchorea mstari siku nyingii tu japo sasa hv ndo unAJITAMBULISHA KUTAKA KUMTOLEA UVIVU! My take kiukweli wewe hufai hata kwa dawa...................:glasses-nerdy:

USIMTUKANE MAMBA ANGALI HUJAVUKA MTO!!!!!!!!!!!!!! I wish hiyo sehemu its permenent for u na hutokuwa mpitaji!!!!!!
 
We jitie shabiki maandazi kutiwa amira kijiko kimoja na kuumuka beseni zimaaaaa! NATAMI HATA NIINGIE KWENYE SCREEN NIJE NIKUPE NAKOZZZZZ HUKO ULIKO HADI UTIE AKILI!!!!!!!!!!!!!!!! SURA KA BOSI ANAKUNYA!!!!!!!!!!!!!!!!!
Lara1 mtoto mzuri,.... Chezea High Voltage wewe ngoja nimuambie BOSS akuambie umpe Uroda la sivyo akufukuze kazi, ah! Mshahara ulishaingia We unalalamika .. Tu
 
Ila ulivyojieleza kwenye maelezo yako unaelekea huna adabu hata kidogo uwezi ukamtukana bosi wako leo wakati wa perfomance appraisal na siku zote hujawai kulalamika.Kama amekupa constractive feedback fanyia kazi kwani hata ukiacha kazi na kujiajiri na ukaendelea na hiyo atitude hutaweza kufanikiwa na hata ukiajiriwa pengine kama utaendelea na tabia hiyo hutafika mbali kwani utashusha mishipa ya wangapi.
Just good advice from me,kaa chini fanyia kazi mapungufu yako uone kama next time atakuandikia hivyo au look for another job taratibu au ujiajiri kama wengine wanavyokushauri na ujipange na sio kwa jazba .Vijana wengi huwa wanajidanganya sana kwa kufikiria maisha bila uvumilivu yanawezekana(sio wa kuonewa lakini) hata kama utajiajiri kama una kauli nzuri na uvumilivu hufiki mbali hasa kwa sisi wanawake kwani utaishia kusema wananitaka tu.
 
lara 1 serikali ya Tanzania ingekuwa inafuata Performance evaluation nadhani tungekuwa tumeaga umaskini miaka mingi iliyopita. Je unadhani alichokujazia ndicho ulichostahili au amekuwa "bias"?

Alichojaza ni FITINA TUPU!!!!!!!!! Ofisi hizi tunapita tuuuu, Kwanini tusipite kwa amani? Haya sasa kunijazia ovyo kapata nini sasa? Mijitu hii ikifukuzwa ndo watu wanafanya PARTY ya kusherekea!!!! Fine me kanijazia vibaya nimemnyima UCHI poa! Na wengine wenye familia zao!!!!!!!! Anataka wakale polisi sikukuuu! Msheeeeeeeeeeew!!!!!!! Hilo fungu la Bonas likibaki atapewa yeye alitumie?????????? Mufilisi kabisaaaaaaaaa!
 
Huyu bosi vita yetu ilianza kutokana na Kugoma kuwa kiburudisho chake!!!!!!!!!!!!!!!!!! Sasa hata nifanyaje ananikomoa!!!!!!! Aghhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!! Ngoja nimuwahi Saint Anna manake nyie maboss U CAN NEVER UNDERSTAND!!!!!!!!!!!

lara 1 please wala usihangaike nae maana malipo atayapata tu kama amekuonea sababu ya ngono,mimi mdogo wangu mwaka jana nilifanyiwa kama wewe,na tena akaniambia kabisa hivi unaona dude la mumeo ni la maana sana eeh,ok utafika mwisho tu.na kila akiniona baada ya bonasi yao ananiambia vipi hutaki bonasi,namwoneaga aibu,yani ananikosesha raha,mara nishike tu dudu yangu,wala siitoi najua we muoga,sijui haitishi haingati,yani ananiboa,naogopaga hata kumwambia mr maana kazi nitakosa live,vile namwambiaga nitafutie kazi anasema mbona hapo ulipo panalipa,kimoyomoyo looh,very staborn boss.Kaza buti mdogo wangu usikubali ngoooo kumpa utamu wako,washenzi sana hawa wanafikiri kila mtu chupi mkononi!manina zake!!
 
Ila ulivyojieleza kwenye maelezo yako unaelekea huna adabu hata kidogo uwezi ukamtukana bosi wako leo wakati wa perfomance appraisal na siku zote hujawai kulalamika.Kama amekupa constractive feedback fanyia kazi kwani hata ukiacha kazi na kujiajiri na ukaendelea na hiyo atitude hutaweza kufanikiwa na hata ukiajiriwa pengine kama utaendelea na tabia hiyo hutafika mbali kwani utashusha mishipa ya wangapi.
Just good advice from me,kaa chini fanyia kazi mapungufu yako uone kama next time atakuandikia hivyo au look for another job taratibu au ujiajiri kama wengine wanavyokushauri na ujipange na sio kwa jazba .Vijana wengi huwa wanajidanganya sana kwa kufikiria maisha bila uvumilivu yanawezekana(sio wa kuonewa lakini) hata kama utajiajiri kama una kauli nzuri na uvumilivu hufiki mbali hasa kwa sisi wanawake kwani utaishia kusema wananitaka tu.

Mama we hili jinga langu(niacheni nipunguze hasira maana naweza anguka na pressure bure!!) hulijui!!!!!!!!! Tatizo ni kumnyima K, ndo kumeleta hii vita baridiiii! HAIWEZEKANI MTU ANIZALILISHE KIJINSIA, ANIONEE KIKAZI THEN NIMUHESHIMU!!!!!!!! NEVERRRRRRRRRRR! Respect is earned not given!!!!!!!!!! He hasnt earned mine yet!!!!!!!!!! Kunionea mwisho ni hiii report tu ila dawa yake naichemsha!!!!!!!!! Mambo ya ukoloni wa kukubali kunyanyasika ili basi tu siyakubali!!!!!!!!!! Hata nikisema nikubali it wont end there!!!!!!!!!! Shipa litamkeep busy na ratiba za hospitali huku ofisini tutapumua!!!!!!!!!
 
Wengi wanakupamba kwa kuwa una lugha ya kiubabaishaji, lakini ukweli wewe ni mdaku na gharama yake ni hiyo.Jitahidi kwenda kuungama matendo na maneno yako machafu umrudie Mungu wako vinginevyo ulimwengu wa kazi umekwisha kushinda.Nakutakia sala njema na wito wa baraka kujua yaliyo mema na kuyafuata.:becky:
 
ila kwa nini usimkubali ombi lake halafu ukamtengenezea tego? Akanaswa kiulainiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Hahahaaaaaaa! Saivi VITA IKO PABAYA SANA atatuma report IM BRIBING HIM WITH SEX ili kunipoteza kabisaaaaa! Sahivi hapa NAMUIMBIA TAARABU TU!!!!!!!! Kila nikipita usawa wa ofisi yake NAONGEZA SAUTI!!!!!!!!! Analeta ligi na toto ya uswaziiiiiii! Hajui Biff ndo profession yetu kino eeeh!

"Langu Jichooo" by Joha Kassimu

"Kuna watu na viatu" by Nyota Ndogo

"Bosi" by Feroooz

"Sina mda huo" Leila Yusufu.

Mpaka siku iishe atakataza kupita nje ya mlango wake!!!!!!!!! Haloooooooooooooooo!
 
Mama we hili jinga langu(niacheni nipunguze hasira maana naweza anguka na pressure bure!!) hulijui!!!!!!!!! Tatizo ni kumnyima K, ndo kumeleta hii vita baridiiii! HAIWEZEKANI MTU ANIZALILISHE KIJINSIA, ANIONEE KIKAZI THEN NIMUHESHIMU!!!!!!!! NEVERRRRRRRRRRR! Respect is earned not given!!!!!!!!!! He hasnt earned mine yet!!!!!!!!!! Kunionea mwisho ni hiii report tu ila dawa yake naichemsha!!!!!!!!! Mambo ya ukoloni wa kukubali kunyanyasika ili basi tu siyakubali!!!!!!!!!! Hata nikisema nikubali it wont end there!!!!!!!!!! Shipa litamkeep busy na ratiba za hospitali huku ofisini tutapumua!!!!!!!!!

No lara 1,mwombee adui yako aishi miaka mingi,ili utakapo kuja kufanikiwa ajionee kwa macho yake mwenyewe,usimlipizie kisasi kabisa,ila tu usilegeze kamba ukampa k,heshima yako ndio itakuwa kushney!yani hilo la bonas si peke ako wako wengi,ila wewe ongea na Mungu kama ni haki yako kweli basi Mungu akufanyie mbadala.
 
Back
Top Bottom