NIMEDHAMIRIA KUMTEKETEZA BOSI WANGU!!!!!!!!!! For GOOD!

Mama we hili jinga langu(niacheni nipunguze hasira maana naweza anguka na pressure bure!!) hulijui!!!!!!!!! Tatizo ni kumnyima K, ndo kumeleta hii vita baridiiii! HAIWEZEKANI MTU ANIZALILISHE KIJINSIA, ANIONEE KIKAZI THEN NIMUHESHIMU!!!!!!!! NEVERRRRRRRRRRR! Respect is earned not given!!!!!!!!!! He hasnt earned mine yet!!!!!!!!!! Kunionea mwisho ni hiii report tu ila dawa yake naichemsha!!!!!!!!! Mambo ya ukoloni wa kukubali kunyanyasika ili basi tu siyakubali!!!!!!!!!! Hata nikisema nikubali it wont end there!!!!!!!!!! Shipa litamkeep busy na ratiba za hospitali huku ofisini tutapumua!!!!!!!!!

all the best kama umeamua hivyo
 
Kilaza utamjuaa tu, BOSS wako Hana makos a, wewe mda wa upo JF izo kazi wazifanyaje? Tena mie ningekua BOSS lazima ningekuletea na vitimbwi hadi unipe uwa jekundu maana na ulivyonona Kama samaki wa magufuli ili uendelee na kazi.... Hal wasiishie zoom tu na zingine hizi Rio tinto, Bhp billiton , Extrata pamoja na Schlumbeger wakaseke kazi...

Huyu ni kilaza kweli mkuu, juzijuzi kaja na uzi mmoja anajisifia jinsi anavyofanya ujanja ujanja kazini, na akakiri mwenyewe kuwa hana juhudi za kutosha kazini, huku akisema kuwa kwa kuwa yule supavaiza wake ni shosti wake basi ana uhakika yeye atakumu'evaluate vizuri, hofu yake ikawa kwa bosi wake mkuu hivyo akahitaji ushauri jinsi ya kum'motivate.

Sasa kwa mawazo yako hayo alitegemea amuandikieje!?
Ana mambo ya ajabu sana, yeye alete ujanja ujanja kwenye kazi ya watu halafu apewe bonus?! kwani anaogopwa?
Manake angesifiwa ndio ingekuwa motivation kwa wafanyakazi wengine kuwa mburula kama yeye??

Akafanye biashara ndio ajiwekee sheria atakazo, vinginevyo inabidi afuate utaratibu wa mwajiri wake la sivyo atahama mjini!
 
lara 1 please wala usihangaike nae maana malipo atayapata tu kama amekuonea sababu ya ngono,mimi mdogo wangu mwaka jana nilifanyiwa kama wewe,na tena akaniambia kabisa hivi unaona dude la mumeo ni la maana sana eeh,ok utafika mwisho tu.na kila akiniona baada ya bonasi yao ananiambia vipi hutaki bonasi,namwoneaga aibu,yani ananikosesha raha,mara nishike tu dudu yangu,wala siitoi najua we muoga,sijui haitishi haingati,yani ananiboa,naogopaga hata kumwambia mr maana kazi nitakosa live,vile namwambiaga nitafutie kazi anasema mbona hapo ulipo panalipa,kimoyomoyo looh,very staborn boss.Kaza buti mdogo wangu usikubali ngoooo kumpa utamu wako,washenzi sana hawa wanafikiri kila mtu chupi mkononi!manina zake!!

Sema wewe mwenzanguuuu! Nikisema mie naambiwa muhuni wa mtaani!!!!!!!!! Hawa watu nuksiiiiiii kweli! Mwenyewe BF wangu sijadhubutu kumwambia manake mambo mengne ni kujiaibisha tu!!!!!!!!!! Watu kama hayajawafika wanajifanyaaa wajumvi kweliii wa mambo ila mtu yakikufika ndo chupi inapokubanaaa! Sasa waishije manake mimi kila nikimtizama nawaz SIJUI NIMUUE KWA NJIA GANI!!!!!!!!! NIMUWEKEE SUMU KWENYE CHAI! NIWEKE MAJI YA BETRI KWENYE WATER N COFFEE DISPENCER YAKE PALE OFISINI, AU NIMUEKEE UNGA WA SUMU KWENYE AC YA KIGARI CHAKE, AU NI BARLOW TU YAISHE!!!!!!! Aghhhhhhhhhhhhhhhhhh!
 
Watu na mie twahitaji NAFASI KIDOGO TU TUHEME!!!!! TUPUMUE!!!!!!!!!!!! KUJA OFISINI IMEKUWA KAMA KWENDA LABOUR!!!!! HATUJAMBII KWA RAHA, HATUPUMUI!!!!!!!!!! KAMA ENZI ZA UTUMWAAAAA! People need freedom, security, peace! Yaani unafanya kazi ukihisi kesho waweza uwe juu ya mawe kwa fitina za jitu moja!!!!!!!!!

Acha kazi ukapumzike, uishi kwa uhuru, ujambee kwa raha zako na upate Amani
 
Huyu ni kilaza kweli mkuu, juzijuzi kaja na uzi mmoja anajisifia jinsi anavyofanya ujanja ujanja kazini, na akakiri mwenyewe kuwa hana juhudi za kutosha kazini, huku akisema kuwa kwa kuwa yule supavaiza wake ni shosti wake basi ana uhakika yeye atakumu'evaluate vizuri, hofu yake ikawa kwa bosi wake mkuu hivyo akahitaji ushauri jinsi ya kum'motivate.

Sasa kwa mawazo yako hayo alitegemea amuandikieje!?
Ana mambo ya ajabu sana, yeye alete ujanja ujanja kwenye kazi ya watu halafu apewe bonus?! kwani anaogopwa?
Manake angesifiwa ndio ingekuwa motivation kwa wafanyakazi wengine kuwa mburula kama yeye??

Akafanye biashara ndio ajiwekee sheria atakazo, vinginevyo inabidi afuate utaratibu wa mwajiri wake la sivyo atahama mjini!

Hahahaaaaaaaaaaaaaaaa! Na bado utakufa kwa pressure kwa kuwaza lara 1 hafanyi kazi!!!!!!!!!! NA MKEO BOSI WAKE ANAMLA NA WEWE SHABIKIA TUUU!
 
Acha kazi ukapumzike, uishi kwa uhuru, ujambee kwa raha zako na upate Amani

HALOOOOOOOOOO! UNAHAMU NIACHE KAZI!!!!!!!! KAZI SIACHI NGOOOOOO LABDA NIJISIKE !!!!!!!!!!!! ILA BOSI NDO ATANIKOMA SASA.!!!! Kiti chake nitakichukua!!!!!!!!!! WEWE YA OFISINI KWETU HUYAWEZI FANYA YA OFISINI KWENU TU NA WEWE UWE BOSI !!!!!!!!EEEEEEEEEEEEEEEH MTOTO MZURI!!!!!!!!!
 
Huyu bosi vita yetu ilianza kutokana na Kugoma kuwa kiburudisho chake!!!!!!!!!!!!!!!!!! Sasa hata nifanyaje ananikomoa!!!!!!! Aghhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!! Ngoja nimuwahi Saint Anna manake nyie maboss U CAN NEVER UNDERSTAND!!!!!!!!!!!

Ahaaaaa...sasa kumbe ishu yenyewe keki namna hii lara 1?..mtegeshee kitu hicho..kamata tape recorder(hata ya simu) upate confession matata kuwa atabadilisha performance ranking ukimuonjesha..kama nnamuona hivi mimate itakavyokuwa inamtoka, atajisemea hovyo hovyo tu mara moja hapo..we unakamata evidence hiyo unapeleka kwa the next higher level..

Warning:
Fanya hivi tu ikiwa kweli jamaa amekuonea..otherwise unajitakia laana..
 
Last edited by a moderator:
HALOOOOOOOOOO! UNAHAMU NIACHE KAZI!!!!!!!! KAZI SIACHI NGOOOOOO LABDA NIJISIKE !!!!!!!!!!!! ILA BOSI NDO ATANIKOMA SASA.!!!! Kiti chake nitakichukua!!!!!!!!!! WEWE YA OFISINI KWETU HUYAWEZI FANYA YA OFISINI KWENU TU NA WEWE UWE BOSI !!!!!!!!EEEEEEEEEEEEEEEH MTOTO MZURI!!!!!!!!!
Mie, sina BOSS na ctaki kua BOSS maana mie, mmachame namtafuta pesaaaaa si mtafuti mtuuuu njoo nikuajiri basi, sharti ofisi ni Huvai KUFURi na unalala .......
 
Wakubwa zangu shikamooni! Peopleeeeees Niajeeeeeeeeeeeeeee!

This thread aint about peace or love! Neither is it about unity or forgiveness! Its about REVANGE!!!!!! Revange n nothing bt Revange!!!!!!!!!!!!

Kama mnavojua vita vyangu na Boss mburula leo vimefikia pabaya sanaaaaa! Yaani leo tumedelare war wazi wazi. Im detemined to do whatever it takes to take over his post, status and destory him for good!!!!!!!(Im doin this for me n for the others) Can u imagine mtu anakujazieni PEF hovyooo hovyooo ili tusipate BONUS na PROMO????!!!!!, na anajua maisha yetu ya kuunga unga, wengine wanafamilia zinawategemea!!!!!!!!!!! Sikukuuu na familia bila Bonus!!!!!!!!!!! Damn!!!!!!!!

Leo bosi kanijazia Performance Evaluation Form, Kanilima mi average na more effort needed mwanzo mwisho!!!!!! Good moja tu!!!!! Can u imagine what this MF did? And he was LAUGHING while filling the stupid report!!!!!!!!!!! Jasho lilianza kunitoka, then likakatika nikaanza kuhisi baridi na homa! WTF!!!!!!!!!!! Yaaani I KISSED THAT PROMO AND THE BONUS GOOD BYE!!!!!!!!!! This cant go unpunished!!!!!!!! Alivomaliza nikamwambia we will see who laughs last and long!!!! Akaniambia is that a threat? Nikamwambia its compliment! Enjoy it while it lasts!!!!!!!!

Sasa hapa nishaona nikiendelea kucheka na nyani nitavuna mabua!!!!!!!! Jst imagine hapo tu kasenior ndo kanialshabab namna hiii! If i sit back n do nothing akifikia level za Directoriate si ndo ataturn my life to a living hell!!!! The best option ni to stop him from gettin on the top. SIJUI NIKAMTOE SHIPA TU AWE ANAKUJA NA MSULI OFISINI!!!!!!! Damn!!!

Kuna mtu nae kajaziwa ufyorooo naona kazama ZOOM kusaka kazi, mapemaaa!!! LOL! Macho mekundu kwa kilio. Chezea Xmass bila Bonus na familia!!!! I guess some run some of gotta stay n fight back!!!! Huyu si mtu wa kutafuta nae suluhu!!! Dawa ni kumkomesha tu!!!! Sawa mie sina vyeti vya HAVARD, CAMBRIGE,OXFROD na midude gani huko ila silaha yangu ni MAJUNGU TUUUU! Nitamjungua mpaka atanikoma! Im officialy diging the dirty in his past. every body got a past and PEOPLE HAVE THE RIGHT TO KNOW!!!!!!!!

Kama nilivosema THIS THREAD IS ABT REVANGE AND NOT FORGIVENESS naomba kwa wale mnaonyanyasika kama mie huko maofisini mnipe Dawa ya kumtibu huyu kisirani huku. Wenzenu twafaaaaa! Kuna watu wanfamilia zinawategemea nao wananitegemea mie kumtibu huyu mgonjwa kisirani manake wote tumekalia kuti kavu nae ndo kashika panga analikata hivoooo. KUFA HATUFI ILA CHA MOTO TWAKIONA WENZENU!!!!!!!!!

Ngoja nikatulize maumivu na SAINT ANNA NA KONYAGI ZINGA KUBWAAAA manake bila hivo MUDDER CASE inaninyemelea! (May be Saint Anna has a solution) Nitarudi Usiku kumalizia Hasira zanguuuuu! Shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiit!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! UJENZI MWEMA WA TAIFA!!!!!!!!!!!!!!!
na kama ni habari ya kweli inawezekana huyo boss yumo humu na amekusoma na sasa anapanga kuku quit kabla hujamjungua! Lol!!
 
Hahahaaaaaaaaaaa! Kuliko nije uniajiri MSWAHILI MWENZANGU!!!!!!!! Bora nikubali niolewe na yule Mchagga mwenzio niwe kama Natalia, Nafua, Osha vyombo, Fagia njee, Napika na Kushusha Engine tuuuu, tambarareeeeeeeeeeeee! BACK IN THE STONE AGE!!!!!!!!!!! Kama goal keeper kula kulala!
 
Huyu bosi vita yetu ilianza kutokana na Kugoma kuwa kiburudisho chake!!!!!!!!!!!!!!!!!! Sasa hata nifanyaje ananikomoa!!!!!!! Aghhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!! Ngoja nimuwahi Saint Anna manake nyie maboss U CAN NEVER UNDERSTAND!!!!!!!!!!!
acha kuzunguka mmbuyu wewe, kiburudisho chake ulikua mwenyewe sema, kakupiga chini umeanza mletea visa kwa chombo chake kipya ndio maana anakufundisha nidhamu, na anampangao aw kutuma watu wakubake adi utoke damu nyekundu iliyochamana na maji
 
Pole shogate, calm down,nlipita na im goin thru a lot than u.
Hapa natafutaje kazi kwa bidii,nihame tu.
Usikubali ajue weakness yako. We piga kimya piga mzigo. Endelea kutafuta Mungu atakusaidia.
*Mmmmmuaaaah!*
 
Wakubwa zangu shikamooni! Peopleeeeees Niajeeeeeeeeeeeeeee!

This thread aint about peace or love! Neither is it about unity or forgiveness! Its about REVANGE!!!!!! Revange n nothing bt Revange!!!!!!!!!!!!

Kama mnavojua vita vyangu na Boss mburula leo vimefikia pabaya sanaaaaa! Yaani leo tumedelare war wazi wazi. Im detemined to do whatever it takes to take over his post, status and destory him for good!!!!!!!(Im doin this for me n for the others) Can u imagine mtu anakujazieni PEF hovyooo hovyooo ili tusipate BONUS na PROMO????!!!!!, na anajua maisha yetu ya kuunga unga, wengine wanafamilia zinawategemea!!!!!!!!!!! Sikukuuu na familia bila Bonus!!!!!!!!!!! Damn!!!!!!!!

Leo bosi kanijazia Performance Evaluation Form, Kanilima mi average na more effort needed mwanzo mwisho!!!!!! Good moja tu!!!!! Can u imagine what this MF did? And he was LAUGHING while filling the stupid report!!!!!!!!!!! Jasho lilianza kunitoka, then likakatika nikaanza kuhisi baridi na homa! WTF!!!!!!!!!!! Yaaani I KISSED THAT PROMO AND THE BONUS GOOD BYE!!!!!!!!!! This cant go unpunished!!!!!!!! Alivomaliza nikamwambia we will see who laughs last and long!!!! Akaniambia is that a threat? Nikamwambia its compliment! Enjoy it while it lasts!!!!!!!!

Sasa hapa nishaona nikiendelea kucheka na nyani nitavuna mabua!!!!!!!! Jst imagine hapo tu kasenior ndo kanialshabab namna hiii! If i sit back n do nothing akifikia level za Directoriate si ndo ataturn my life to a living hell!!!! The best option ni to stop him from gettin on the top. SIJUI NIKAMTOE SHIPA TU AWE ANAKUJA NA MSULI OFISINI!!!!!!! Damn!!!

Kuna mtu nae kajaziwa ufyorooo naona kazama ZOOM kusaka kazi, mapemaaa!!! LOL! Macho mekundu kwa kilio. Chezea Xmass bila Bonus na familia!!!! I guess some run some of gotta stay n fight back!!!! Huyu si mtu wa kutafuta nae suluhu!!! Dawa ni kumkomesha tu!!!! Sawa mie sina vyeti vya HAVARD, CAMBRIGE,OXFROD na midude gani huko ila silaha yangu ni MAJUNGU TUUUU! Nitamjungua mpaka atanikoma! Im officialy diging the dirty in his past. every body got a past and PEOPLE HAVE THE RIGHT TO KNOW!!!!!!!!

Kama nilivosema THIS THREAD IS ABT REVANGE AND NOT FORGIVENESS naomba kwa wale mnaonyanyasika kama mie huko maofisini mnipe Dawa ya kumtibu huyu kisirani huku. Wenzenu twafaaaaa! Kuna watu wanfamilia zinawategemea nao wananitegemea mie kumtibu huyu mgonjwa kisirani manake wote tumekalia kuti kavu nae ndo kashika panga analikata hivoooo. KUFA HATUFI ILA CHA MOTO TWAKIONA WENZENU!!!!!!!!!

Ngoja nikatulize maumivu na SAINT ANNA NA KONYAGI ZINGA KUBWAAAA manake bila hivo MUDDER CASE inaninyemelea! (May be Saint Anna has a solution) Nitarudi Usiku kumalizia Hasira zanguuuuu! Shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiit!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! UJENZI MWEMA WA TAIFA!!!!!!!!!!!!!!!

Hahahaaaaaaaaaaaaaaaa! Na bado utakufa kwa pressure kwa kuwaza lara 1 hafanyi kazi!!!!!!!!!! NA MKEO BOSI WAKE ANAMLA NA WEWE SHABIKIA TUUU!

Eti unasubiri bonus kulisha familia wakati wa sikukuu!? halafu unajisifia ujanja ujanja kazin?!

"Don't argue with fools, because they will drag you to their level, and beat you with experience" author..

These words taught me a lot! Kila la kheri.
 
na kama ni habari ya kweli inawezekana huyo boss yumo humu na amekusoma na sasa anapanga kuku quit kabla hujamjungua! Lol!!

Yuleee alivo na shaziii aingie humuuuuu! Yuko website za wallstreet na Newyork times!!!!!!!! Akijitahidi aingie newyork na london stock exchange!!!!!!!!!! JF ni yetu sie wa hapa hapa!
 
Hahahaaaaaaaaaaa! Kuliko nije uniajiri MSWAHILI MWENZANGU!!!!!!!! Bora nikubali niolewe na yule Mchagga mwenzio niwe kama Natalia, Nafua, Osha vyombo, Fagia njee, Napika na Kushusha Engine tuuuu, tambarareeeeeeeeeeeee! BACK IN THE STONE AGE!!!!!!!!!!! Kama goal keeper kula kulala!
Jiangaliee na unavyo tamanisha watakao tumwa kukubaka watafaidi, itabidi na mie niiombe hii kazi tena nitakubaka bure ee
 
"Don't argue with fools, because they will drag you to their level, and beat you with experience" author..

"The HIGHEST LEVEL OF FOOLISHNESS IS BEING A FOOL TO THE EXTENT OF NOT KNOWING THAT YOU ARE SO FOOLISH THAT YOU SEE EVERY BODY A FOOL" Halooooooooooo! Hata ukiandika kijerumani nakujibu tuuuuuu itakuwa lugha ya mkoloni!!!!!! Nipishe kule!
 
Uje nikuoe tu wewe hizo shida zako ziishe then nakufungulia bzness u run achana na mambo ya kuajiliwa binti,ni pm nikuelekeze namna ya kuanzisha kiwanda cha kutengeneza midoli.bzness plan,financing market zote ntakusaidia,ila tu ukubali uwe wangu
 
Asilimia kubwa ya maboss huwa wanakuwa na roho mbaya sana...ili aonekane kafanya kazi basi ni mwendo wa kukandamiza wengine wa chini yake...halafu usiombe uwe unafanya kazi kwenye haya makampuni ya wageni halafu boss ndio bandiduu, ole wako uchelewe hata dakika moja na sababu yako iwe ni traffic jam, mbona kitakushukaaa

kweli mkuu mabosi wengi vimeo mi leo nimemlima bosi wangu barua anipe vipengele vinavyonizuia kupata bonus wakati kila kitu kiko byeee na taratibu zipo...
 
Back
Top Bottom