Habari wana jamiiforum.Mimi nikijana wa kiume mwenye umri wa miaka kati ya( 20 -25) hivi.Siku moja nilisitukia nimeingiza kwenye group moja la whatsapp(jina kapuni) pasipo mimi kuwa na taarifa yoyote ile,sasa kule kuingizwa nikawa napimishia tu chating zako nikawa nimetuma sms ya HODI wadau wakaitia karibu.Kuna mdau moja akawa ametuma sms ya mgeni tunaomba picha yako nikatuma picha ya demu fulani hivi mzuri sana wadau wakaanza ooh mgeni we mzuri sana mara ooh mgeni upo wapi mara ooh mgeni nimekupenda nikasitukia mdau moja kanifata inbox nikawa nachati nae na ikumbukwe kuwa hapo nimeficha,nimeongopea jinsia yangu so jamaa akawa anajua kuwa anachati na demu kwa sababu ya ile picha niliyotuma kwenye group.Nilichati nae vizuri kwa kujifananisha kuwa mimi demu mpaka jamaa akafikia hatua ya kuvunja ukimya juu ya ile picha nikawa nimemkubalia jamaa.Sasa jamaa amenituma nauli nimfate aliko maana yupo mkoa tafauti na nilipo mimi na nauli yake si chini ya elfu 80000 na jamaa kanitumia laki moja(100000)na hali niliyonayo Mimi huku si nzuri kwa kweli kiuchumi.Sasa napenda mnishauri kuwa jamaa nimwambie ukweli kuhusu jinsi yangu??au niitumie tu hii hela kwa mambo yangu binafsi???au nimurudishie tu hii hela????.Wapendwa ushauri wenu tafadhali.
Hapana mkuu nilikuwa namwonyeshea dalili zote kabisa kuwa Mimi mwanaume so jamaa hata hakusitukia aiseeeeee.Ivi kweli utashindwa kujua or kuhisi tu kuwa unachati na mwanaume mwenzio hata kwa mwandiko?????Dah sisi mwanaume bhana huwa tunatapeliwa kizembe kweli.
Nimejikuta nimepandwa na hasira za gafla sijui kwanini nimesoma huu uzi
zitumie hizo hela kisha badilisha namba ya simu yeye hata wakati anatuma hiyo hela hakuona kama lililotokea ni jina la kiume na mtu atatumaje hela kwa mtu ambaye hajawahi hata kusikia sauti yake.
Hapana mkuu nilikuwa namwonyeshea dalili zote kabisa kuwa Mimi mwanaume so jamaa hata hakusitukia aiseeeeee.Ivi kweli utashindwa kujua or kuhisi tu kuwa unachati na mwanaume mwenzio hata kwa mwandiko?????Dah sisi mwanaume bhana huwa tunatapeliwa kizembe kweli.
Unaanzaje kujifananisha na manzi?hii vita ya ushoga ni ngumu sanaaa.
Laini,namba yangu inausajili wa jina langu la kiume.
Hajawahi hata kunipigia simu ndiyo tofauti na kuchati tu annito
Habari wana jamiiforum.Mimi nikijana wa kiume mwenye umri wa miaka kati ya 20-25 hivi.Siku moja nilisitukia nimeingiza kwenye group moja la whatsapp(jina kapuni) pasipo mimi kuwa na taarifa yoyote ile,sasa kule kuingizwa nikawa napimishia tu chating zako nikawa nimetuma sms ya HODI wadau wakaitia karibu.Kuna mdau moja akawa ametuma sms ya mgeni tunaomba picha yako nikatuma picha ya demu fulani hivi mzuri sana wadau wakaanza ooh mgeni we mzuri sana mara ooh mgeni upo wapi mara ooh mgeni nimekupenda nikasitukia mdau moja kanifata inbox nikawa nachati nae na ikumbukwe kuwa hapo nimeficha,nimeongopea jinsia yangu so jamaa akawa anajua kuwa anachati na demu kwa sababu ya ile picha niliyotuma kwenye group.Nilichati nae vizuri kwa kujifananisha kuwa mimi demu mpaka jamaa akafikia hatua ya kuvunja ukimya juu ya ile picha nikawa nimemkubalia jamaa.Sasa jamaa amenituma nauli nimfate aliko maana yupo mkoa tafauti na nilipo mimi na nauli yake si chini ya elfu 80000 na jamaa kanitumia laki moja(100000)na hali niliyonayo Mimi huku si nzuri kwa kweli kiuchumi.Sasa napenda mnishauri kuwa jamaa nimwambie ukweli kuhusu jinsi yangu??au niitumie tu hii hela kwa mambo yangu binafsi???au nimurudishie tu hii hela????.Wapendwa ushauri wenu tafadhali.