Mmmm Viva89 kwa nini umecheka, plz ushauri wako tafadhali.
Ina maana hajawahi kukupigia cm huyo jamaa? , na kwanini usijitoe kwenye hilo group?
We bora unitumie mie hizo hela mchezo uishe
We bora unitumie mie hizo hela mchezo uishe
Nenda tu, ukifika ndo umwambie ukweli
aahhaa kumbe ndio maana haupokeagi cmu eeehh, nirudishie pesa zangu la siivyo nakushusha busha..
Wewe unakokwenda pabaya? Ss hv watakupumulia kisigon
Mkuu Nelly Paul huyu jamaa nilishindwa kumwelewa kwa kweli maana nilikuwa namwonyeshea dalili zote kabisa kuwa mi mwanaume ila hata hakusitukia hilo.daah labda nikuulize swali mwanzoni ulipoambiwa utume picha yako kwanini ulituma ya demu?halafu ulivyopewa sifa mara wee mzuri,cjui nini na nini we ukaendelea kukubali kwamba we ni demu ulitegemea nini hapo?in short me sijui hata nikushauri nini hadi jamaa kajikamua katoa kilo(laki) ya nauli akijua wewe ni demu kumbe ni men mwenzake....take care badae utalia ndg yangu
Kula pesa jitoe kwenye group...
Hahaha nikutumie halafu uende siyo Valentina
Hapana mkuu nilikuwa namwonyeshea dalili zote kabisa kuwa Mimi mwanaume so jamaa hata hakusitukia aiseeeeee.Ivi kweli utashindwa kujua or kuhisi tu kuwa unachati na mwanaume mwenzio hata kwa mwandiko?????Dah sisi mwanaume bhana huwa tunatapeliwa kizembe kweli.
Viva89 huyu jamaa nilishindwa kumwelewa kwa kweli.Ivi kweli kwa akili tu yakawaida utashindwa kugundua huyu ni mwanaume?? isitoshe laini,namba yangu nimeisajili kwa jina langu la kiume. Dah nipe namba yako viva nikutumie hata elfu kumi(10000)hahahahhahaaaa...cz kakutumia laki moja kabsa, mnaona sasa wanaume mlivyo? hahahaaaa...mpesa haijasajiliwa jina? by now kama yupo JF si atakuwa kajua, bwana eeh..itumie tu, akome na yeye kutuma tuma hela hahahhaaaa
Mkuu Nelly Paul huyu jamaa nilishindwa kumwelewa kwa kweli maana nilikuwa namwonyeshea dalili zote kabisa kuwa mi mwanaume ila hata hakusitukia hilo.