Nimedanganya jinsia yangu

Nimedanganya jinsia yangu

Jihadhari kabla ya hatari. Jasho la mwanaume haliendi bure. Hata mwanamke atakula vitu vya mwanaume sana lakini mwisho wa siku anajikuta anaachia. Nguvu ya mwanaume ya kushawishi kitu ni kubwa sana, usije ukapotea.
 
Alipenda picha

Picha tu?

Kweli???

Sijaamini kwa usawa huu kama kuna mwanaume wa kutuma pesa just for a photo!

Binafsi ni whatsapp addict, nimejiunga na makundi mengi mno mf. Brazil, Iran mpaka West Africa enzi hizo za Ebola, nilikuwa na marafiki nachati nao!

Huko kote nilikuwa nachati na members kwenye group na private(preferrably women) pia!

Huko pm sasa tulikuwa hatudanganyani kamwe, ni mwendo wa voice notes na picha za ulipo currently!!

Btw, umepata boya! Jirahisishe kwa wengine wakutawanye mirija ya mavi...
 
Nenda akavumbue madini yako ya uani,maana ilikuaje mpk aku2mie nauli?inamaana c mmekubaliana uende sasa km unajijua we dume ulifikiaje hatua ya kutongozwa na dume mwenzio hadi akupe kilo ya nauli c na ww unataka kugegedwa?we utakua elton john so bure.
 
Nimejikuta nimepandwa na hasira za gafla sijui kwanini nimesoma huu uzi
 
Unaanzaje kujifananisha na manzi?hii vita ya ushoga ni ngumu sanaaa.
 
Akhsante kwa ushauri wako mkuu ila kweli ushindwe kujua kuwa unachati na mwanaume mwenzio??Dah
On the very first damn place kwa nini huku display gender yako? Tunapata walakini na NIA YAKO YA NDANI labda tungeanzia hapo.
 
Uliwaza nn kujiita msichana uliona tunafaidi enh umevuna ulichopanda
 
we mwenyewe ndio mjinga..
mwanaume kujifanya mwanamke ni matatizo katika mfumo wa fahamu.
kama hukutaka waone picha yako bora usingetuma tu.
Pia we ni tapeli, mpaka unakubali kutumiwa nauli we ni mwizi.
Acha huo mchezo mchafu,mali ya kidume haiendi bure angalia usije ukalipia kwa namna ambayo hukutarajia.
Rudisha hela ya watu,mwambie ukweli.
 
We ndo naekutafuta..
.afu nakupigia cmu hupokei....rudisha hela angu fastaaaa...nyambaaaaf
 
Back
Top Bottom