Nimedanganya jinsia yangu

Nimedanganya jinsia yangu

Habari wana jamiiforum.Mimi nikijana wa kiume mwenye umri wa miaka kati ya 20-25 hivi.Siku moja nilisitukia nimeingiza kwenye group moja la whatsapp(jina kapuni) pasipo mimi kuwa na taarifa yoyote ile,sasa kule kuingizwa nikawa napimishia tu chating zako nikawa nimetuma sms ya HODI wadau wakaitia karibu.Kuna mdau moja akawa ametuma sms ya mgeni tunaomba picha yako nikatuma picha ya demu fulani hivi mzuri sana wadau wakaanza ooh mgeni we mzuri sana mara ooh mgeni upo wapi mara ooh mgeni nimekupenda nikasitukia mdau moja kanifata inbox nikawa nachati nae na ikumbukwe kuwa hapo nimeficha,nimeongopea jinsia yangu so jamaa akawa anajua kuwa anachati na demu kwa sababu ya ile picha niliyotuma kwenye group.Nilichati nae vizuri kwa kujifananisha kuwa mimi demu mpaka jamaa akafikia hatua ya kuvunja ukimya juu ya ile picha nikawa nimemkubalia jamaa.Sasa jamaa amenituma nauli nimfate aliko maana yupo mkoa tafauti na nilipo mimi na nauli yake si chini ya elfu 80000 na jamaa kanitumia laki moja(100000)na hali niliyonayo Mimi huku si nzuri kwa kweli kiuchumi.Sasa napenda mnishauri kuwa jamaa nimwambie ukweli kuhusu jinsi yangu??au niitumie tu hii hela kwa mambo yangu binafsi???au nimurudishie tu hii hela????.Wapendwa ushauri wenu tafadhali.
Maswali ya kujiuliza,1,je simu yako umejisajir kwa jina la kike?2,ulishawai kutaman jinsia yako,3,huwa unaangalia porno za jinsia moja?4,wakati unakubali kuwa mwanamke uliona kawaida?5,je kuna wakati ulibadilisha sauti ilijamaaa asijue kuwa wewe ni mwanaume?Kama majibu ni ndio wewe ni homosexual au tapeli ulie kubuu ila kama majibu ni hapana,wewe unadanganya hakuna ukweli ktk unalosema,Ushauri,mpige mkwara huyo jamaa kuwa umegundua anamtongoza mkeo kwa Namba nyingine na umwambie na viela vyako ulivyomtumia akome kuendelea kutuma
 
We utakuwa shoga!!rudisha hela ya watu au mpaka cku wakukamate wapige kabang ndo utaacha.
 
Mbona hii thread imekaa kama tangazo hivi...

Hapa kuna kidume kinajitambulisha kuwa kinagawa uwemba...

Hizo habari za wozap ni zuga tu...
 
Bull... Shit... Kakojoe ukalale... Thts all u gat to do
 
T 1990 ELY

Yaani umetongozwa mpaka umekubali na pesa ya mwanaume umeweka kibindoni!!! Dah dunia hii!! Kweli umetongozwa na umekubali? Mwanaume???
 
Last edited by a moderator:
Hapana mkuu nilikuwa namwonyeshea dalili zote kabisa kuwa Mimi mwanaume so jamaa hata hakusitukia aiseeeeee.Ivi kweli utashindwa kujua or kuhisi tu kuwa unachati na mwanaume mwenzio hata kwa mwandiko?????Dah sisi mwanaume bhana huwa tunatapeliwa kizembe kweli.
ndiyo ujue una elements nyingi za kike!
 
Hapo naona wote mnamakosa.Huwezi mdanganya mtunkuwa wewe ni mwanamke na akafanya miamala yake.Naye atawezaje kuchat na mwanaume halafu asielewe.Nashuauri urudishe hiyo hela maana ukila utakuwa umehongwa na utatakiwa kuilipia
 
Maswali ya kujiuliza,1,je simu yako umejisajir kwa jina la kike?2,ulishawai kutaman jinsia yako,3,huwa unaangalia porno za jinsia moja?4,wakati unakubali kuwa mwanamke uliona kawaida?5,je kuna wakati ulibadilisha sauti ilijamaaa asijue kuwa wewe ni mwanaume?Kama majibu ni ndio wewe ni homosexual au tapeli ulie kubuu ila kama majibu ni hapana,wewe unadanganya hakuna ukweli ktk unalosema,Ushauri,mpige mkwara huyo jamaa kuwa umegundua anamtongoza mkeo kwa Namba nyingine na umwambie na viela vyako ulivyomtumia akome kuendelea kutuma

Hapo kwenye ushauri upo sawa kabisa mkuu
 
Hapo naona wote mnamakosa.Huwezi mdanganya mtunkuwa wewe ni mwanamke na akafanya miamala yake.Naye atawezaje kuchat na mwanaume halafu asielewe.Nashuauri urudishe hiyo hela maana ukila utakuwa umehongwa na utatakiwa kuilipia
Labda ni zee la miamala mkuu,laki si pesa million hela ya chai(katuma sms hiyo)
 
Naona Mda Si Mrefu Unanukia Kuzibuliwa Mfereji Wa Majitaka! Shaur Yako Anza Kupakaa Mafuta Ya Kurainisha 0713 Yako
 
Dunia ina mambo..... umelikoroga jiandae kulinywa. Hainiingii akilini kuwa huku dhamiria..
 
Dunia ina mambo..... umelikoroga jiandae kulinywa. Hainiingii akilini kuwa huku dhamiria..

Nilikuwa sijadhamilia mkuu,ila alivyosema atatuma nauli mmmmmm nikafikilia atatuma kweli au mara muamala huu hapa duh
 
Back
Top Bottom