Nimechoshwa na ubunifu wa fundi huyu..!

Nimechoshwa na ubunifu wa fundi huyu..!

Natumai FUNDI CHITEMO si tatizo sana, maana yeye amefanya kazi yake ya kukustili mwili wako. Lakini najiuliza kwanini wewe usiivue hiyo Nguo? au bado unaipenda? la sivyo inawezekana siku hizi baada ya kupata Nguo hii mpya umeanza kuwa mlafi sana unakula sana na kunenepa ovyo.
 
Mkuu suala la kunenepa liko wazi maana Mimi ni mnene mno, lakin siwezi badili Fundi bila msukumo kutoka kwa wanangu Na wajukuu..
 
Hongera sn....Umeeleweka....Km fundi Chitemo ni mbishi mpge chini...usishone tn nguo kwake ht akikupa ofa ya kushona buree....
Maana muonekano na kupendeza ni kwako....yeye ukishamlipa hana time tn na ww anaanza ubishi na ujuaji...
 
Natumai FUNDI CHITEMO si tatizo sana, maana yeye amefanya kazi yake ya kukustili mwili wako. Lakini najiuliza kwanini wewe usiivue hiyo Nguo? au bado unaipenda? la sivyo inawezekana siku hizi baada ya kupata Nguo hii mpya umeanza kuwa mlafi sana unakula sana na kunenepa ovyo.
 
fundi chitemo mbish sana hajui kama siku hzi watu wanashona mpka nguo za ma designer wa ulaya...

Fundi chitemo ana akili zisizo za kawaida,madaktari wa akili wampime wajue kama anatumia ubongo wa aina gani,hii utasaidia wakati wa kumshauri jinsi ya kurekebisha nguo zako asiwe mbishi
 
Huna lolote mzandiki wewe. Ndio ushone bwanga sasa ili likustiri kwa miaka 9 iliyobaki.
 
Tatizo la kukalili ndo linakukost, ungemsikiliza charles haya yote yasingekuwepo, ona sasa.

Huna ujanja, umetumia gharama kubwa kushona nguo, hiyo mpaka iishe ndio unaweza kubadili, labda uamue kuichana au iibiwe ili wajukuu zako wakuonee huruma kwa kukushonea nguo mpya kwa fundi charles.
 
Mkuu suala la kunenepa liko wazi maana Mimi ni mnene mno, lakin siwezi badili Fundi bila msukumo kutoka kwa wanangu Na wajukuu..
Lakini kumbuka uwezi kupata msaada mzuri toka kwa watoto na wajukuu zako, maana wao wamearibikiwa na mitindo ya kimagharibi. Nahisi wao wataungana na fundi Chitemo, maana yeye huwa anajitahidi kubunibuni mambo mapya na kwa bahati mbaya watoto na wajukuu wako wote ni Bendela.
 
Fundi chitemo ana akili zisizo za kawaida,madaktari wa akili wampime wajue kama anatumia ubongo wa aina gani,hii utasaidia wakati wa kumshauri jinsi ya kurekebisha nguo zako asiwe mbishi
Umeelewa hii tungo? Unajua Chitemo ni nani?
 
huu msemo "Usipoelewa sio ya kwako hayo" ngoja nami nikae pembeni maana sio ya kwangu, walioelewa yanawahusu, huenda nao wanamafundi wa kuwabunia nguo au wanamiongo mitano pia Duniani.
 
Hahahaha mkuu mbona hata wewe yanakuhusu
 
Miaka saba sasa tangu niombe ushauri juu ya fundi wangu lakini bado nataabika.
 
Back
Top Bottom