Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,277
- 111,407
Nafasi niliyo acha hapo juu ni kwaajili ya salamu nikimaliza kuandika uzi.
Sasa......
Huyu piss ni mpangaji mwenzangu, kila jumapili yeye anakuaga mapumziko na haendi kazini.
Kilicho nikwaza ni kila anapokua mapumziko anaanika chupi zake kwenye kamba yote hasi inajaa, yaani sijui hua anavaa ngapi kwa siku aiseeee....
Sasa namimi jumapili hua napumzika marachache kama nikilewa sana juma mosi (jana yake).
Sasa leo nilikua nimetoa nguo zangu nifue, maraghafla akatoka ndani kaanzq kuanika chupi kamba nzima aiseee....🫤
Mie nikaingia ndani nikawazaaaaa nikapata wazo maana hizo chupi zake zinani fanya nipate ham ya kunanii kila akizitandaza kwenye kamba mazeee...😋
Nikicho kifanya..... nikasubiri ametoka kwenda sokoni nikazama ndani nikachukua maji ya betri, nikaenda kunyunyiza juu ya kamba yooote na nguo zake kisha nikaingia ndani nikarudisha nguo zangu zikiwa hazijafuliwa kisha nikaondoka zangu kwenda kukata gambe....🍺
Ndio nimerudi saizi nimemkuta analia ananiita jirani.... kuna mchawi ameangalia nguo zangu kwa jicho baya zooote zimekatika kama zimetafunwa na panya...😜
Nilicho kifanya ni kumpa pole, nimezama geto niandike uzi....🤨