Nimekaa na tatizo hili bila kumweleza hata rafiki yangu wa karibu,leo nimeamua niombe ushauri kwenu wana JF....natumaini mtanisaidia! Mke wangu ni mlevi kupindukia..na juzi aliletwa na rafiki yake kalewa mpaka kushndwa kuendesha gari na nilijaribu kuchunguza "IKULU" nikaona kumelowa..Nimemwambia asinywe pombe kasema hawezi..NAOMBA USHAURI NIFANYEJE?
maombi ndo yanabadilisha tabia ya mtu, mlilie Mungu naye atasikia kilio chakothe only thng whch can change ur wfe ni maombi.binafsi mie nimewah kupitia mambo magumu sana maishani nilikuwa namuomba Mungu na kumuomba anipe unafuu na kweli Mungu alinisikia.usikate tamaa huyo ni mke wako Mungu amekupa ingia kwenye maombi
Hapo magogoni alijilowanisha au alilowanishwa? fafanua zaidi.Nimekaa na tatizo hili bila kumweleza hata rafiki yangu wa karibu,leo nimeamua niombe ushauri kwenu wana JF....natumaini mtanisaidia! Mke wangu ni mlevi kupindukia..na juzi aliletwa na rafiki yake kalewa mpaka kushndwa kuendesha gari na nilijaribu kuchunguza "IKULU" nikaona kumelowa..Nimemwambia asinywe pombe kasema hawezi..NAOMBA USHAURI NIFANYEJE?
maombi ndo yanabadilisha tabia ya mtu, mlilie Mungu naye atasikia kilio chako
hahah,hii hatari nishawahi kuianzisha ila nilistuka mapema,nikampiga ban mapemaaaa!!How comes ulioana na mwanamke chapombe? inawezekana ulimuoa hajui pombe ukamfundisha na sasa kakupita mwalimu wake...
Nimekaa na tatizo hili bila kumweleza hata rafiki yangu wa karibu,leo nimeamua niombe ushauri kwenu wana JF....natumaini mtanisaidia! Mke wangu ni mlevi kupindukia..na juzi aliletwa na rafiki yake kalewa mpaka kushndwa kuendesha gari na nilijaribu kuchunguza "IKULU" nikaona kumelowa..Nimemwambia asinywe pombe kasema hawezi..NAOMBA USHAURI NIFANYEJE?
1.si vema kukaguana ikulu.unamdhalilisha shem,wanaume hatufanyi hivyo.nimekaa na tatizo hili bila kumweleza hata rafiki yangu wa karibu,leo nimeamua niombe ushauri kwenu wana jf....natumaini mtanisaidia! Mke wangu ni mlevi kupindukia..na juzi aliletwa na rafiki yake kalewa mpaka kushndwa kuendesha gari na nilijaribu kuchunguza "ikulu" nikaona kumelowa..nimemwambia asinywe pombe kasema hawezi..naomba ushauri nifanyeje?