Nimechoka!

1.si vema kukaguana ikulu.unamdhalilisha shem,wanaume hatufanyi hivyo.
2.kuna njia nyingi za kumwachisha pombe.
3.kwa sasa hakikisha unakuwa nae ulevini wakati huo ukiwa na soda yako pembeni,kwa staili hiyo utaibiwaje???

Mkuu hapo namba 3 kuna utata!

Kuna watu walishawahi kuibiwa huko huko kwenye pombe pamoja na soda zao mama akaenda kuinamishwa chooni! Ulevi noooooomaaaaaaaaa!!

Hivi kwa nini watu hawaachi pombe jamani? Yaani mtu unakunywa mpaka unapoteza fahamu IKULU inakuwa nje nje!!
 
Muache kabla mambo hayajakuwa mabaya. Kutakuwa na sababu kwa nini anakunywa kiasi hicho. Isije kuwa wewe ndiyo sababu.
 
Muache kabla mambo hayajakuwa mabaya. Kutakuwa na sababu kwa nini anakunywa kiasi hicho. Isije kuwa wewe ndiyo sababu.

mkuu kama ningekuwa mimi nina matatizo angekuwa kashanambia tayari..na kuacha c kazi rahic na c solution.
 
pole sana. Endelea kumweleza madhara ya kulewa kwake huku ukimshirikisha mungu through maombi.
 
Back
Top Bottom