Nimekaa na tatizo hili bila kumweleza hata rafiki yangu wa karibu,leo nimeamua niombe ushauri kwenu wana JF....natumaini mtanisaidia! Mke wangu ni mlevi kupindukia..na juzi aliletwa na rafiki yake kalewa mpaka kushndwa kuendesha gari na nilijaribu kuchunguza "IKULU" nikaona kumelowa..Nimemwambia asinywe pombe kasema hawezi..NAOMBA USHAURI NIFANYEJE?