Nimechoka!

ngwini

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
482
89
Nimekaa na tatizo hili bila kumweleza hata rafiki yangu wa karibu,leo nimeamua niombe ushauri kwenu wana JF....natumaini mtanisaidia! Mke wangu ni mlevi kupindukia..na juzi aliletwa na rafiki yake kalewa mpaka kushndwa kuendesha gari na nilijaribu kuchunguza "IKULU" nikaona kumelowa..Nimemwambia asinywe pombe kasema hawezi..NAOMBA USHAURI NIFANYEJE?
 
Haya weeee!..mke wangu.....kalewa mpaka.....nimemchunguza ikulu.....kuacha pombe......,kweli wewe ndio uliye oa mke wa ukweli na unajua mapenzi ya kisasa kweli kweli,...maake wengine mmmmmmh!..Mungu apishie mbali
 
the only thng whch can change ur wfe ni maombi.binafsi mie nimewah kupitia mambo magumu sana maishani nilikuwa namuomba Mungu na kumuomba anipe unafuu na kweli Mungu alinisikia.usikate tamaa huyo ni mke wako Mungu amekupa ingia kwenye maombi
 
How comes ulioana na mwanamke chapombe? inawezekana ulimuoa hajui pombe ukamfundisha na sasa kakupita mwalimu wake...
 
the only thng whch can change ur wfe ni maombi.binafsi mie nimewah kupitia mambo magumu sana maishani nilikuwa namuomba Mungu na kumuomba anipe unafuu na kweli Mungu alinisikia.usikate tamaa huyo ni mke wako Mungu amekupa ingia kwenye maombi
maombi ndo yanabadilisha tabia ya mtu, mlilie Mungu naye atasikia kilio chako
 
Nimekaa na tatizo hili bila kumweleza hata rafiki yangu wa karibu,leo nimeamua niombe ushauri kwenu wana JF....natumaini mtanisaidia! Mke wangu ni mlevi kupindukia..na juzi aliletwa na rafiki yake kalewa mpaka kushndwa kuendesha gari na nilijaribu kuchunguza "IKULU" nikaona kumelowa..Nimemwambia asinywe pombe kasema hawezi..NAOMBA USHAURI NIFANYEJE?
Hapo magogoni alijilowanisha au alilowanishwa? fafanua zaidi.
 
hebu google 'how to help an alcoholic'. kuna kitu inaitwa tough love. weka kanuni chini mkubaliane,hata kama ni mlevi,akinywea nyumbani hazinogi? na wakati anapombeka ww unakua wapi kwa mfano? pole sana, napata picha jinsi gani ilivyo frustrating.
 
naamini unaweza kumbadilisha akaacha..
  1. je huwa mnapata fursa ya kuongea
  2. ulishawahi kushirikisha watu wa karibu?
  3. je kundi lake likoje au marafiki zake ni wa aina gani (single , au married)
  4. ulishawahi kwenda nae walau kupata mbili tatu??
 
pole sana labda kuna jambo linamtatiza anaamua kunywa pombe akifikiri itamsaidia kuondoa tatizo alilo nalo jaribu kuongea nae kwa upole unaweza gundua kitu.............IKULU umekuta imelowa amejimwagia pombea au yupo angani au akilewa anapoteza fahamu wengine wanajishindia hebu fafanua vizuri mkuu
 
hapo pa ikulu mkuu ni utata ... ina maana akirudi unaenda kumwosha au unamvua chupi kukagua au unanusa???
 
wengi wetu tunajua wanaume ndo kufuru ya pombe
mwambie asinywe kupindukia ukishindwa kumdhibiti mkeo unategemea nini sasa
au ndo maamuzi ya baba anayo mama.
 
Nimekaa na tatizo hili bila kumweleza hata rafiki yangu wa karibu,leo nimeamua niombe ushauri kwenu wana JF....natumaini mtanisaidia! Mke wangu ni mlevi kupindukia..na juzi aliletwa na rafiki yake kalewa mpaka kushndwa kuendesha gari na nilijaribu kuchunguza "IKULU" nikaona kumelowa..Nimemwambia asinywe pombe kasema hawezi..NAOMBA USHAURI NIFANYEJE?

Duuh! mbona wengine tunakunywa na hatuloi IKULU? Au yeye huwa anajimwagia kabisa nini?
 
Ulevi ni ugonjwa. Kama yalivyo magonjwa mengine yanatibika; msaidie!
 
nimekaa na tatizo hili bila kumweleza hata rafiki yangu wa karibu,leo nimeamua niombe ushauri kwenu wana jf....natumaini mtanisaidia! Mke wangu ni mlevi kupindukia..na juzi aliletwa na rafiki yake kalewa mpaka kushndwa kuendesha gari na nilijaribu kuchunguza "ikulu" nikaona kumelowa..nimemwambia asinywe pombe kasema hawezi..naomba ushauri nifanyeje?
1.si vema kukaguana ikulu.unamdhalilisha shem,wanaume hatufanyi hivyo.
2.kuna njia nyingi za kumwachisha pombe.
3.kwa sasa hakikisha unakuwa nae ulevini wakati huo ukiwa na soda yako pembeni,kwa staili hiyo utaibiwaje???
 
Dah! Pole saana... Personally sishangai ulioa chapombe sababu mapenzi hua hayaoni hayo siku za mwanzo... Haya mambo huanza onekana pale ambapo yanaanza affect mahusiano.... Kweli mwanamke kua mlevi kuliko Mwanaume ni mtihani na hio imenionesha kua kweli wampenda na ni mume mvumilivu... mpole... na huna sauti juu yake...

Mvumilivu na Mpole inajieleza....
Kwamba wewe ni mume... uko ndani mkeo kenda kulewa... mpaka yupo chakari na kaletwa na rafikeye... inakua kama utani vile... Ila kaka wanawake saa ingine tunahitaji mwanaume awe mkali kidogo... (IMO) or else...

Huna sauti kwake
nime i-draw from the fact kua analewa kupindukia na bado ana guts za kusema hawezi acha kashindwa... yaani hata ile ya kujidai atajaribu haipo kabisa. Hivo kweli kabisa hakuna hapo suluhisho litakalotokea bila Uamuzi wa mwisho toka kwa mkeo... otherwise mpe Ultimatum...

Pole saana kaka...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom