Mathayo Christopher
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 429
- 329
- Thread starter
- #301
Nimekata tamaa kabisa ubinafsi unawasumbua viongozi ndio maana hata leo bado wanatuambia tuvute subira hawajui wanatuumiza kwa kutotuambia ukweli
Pole sanaNimekuwa kufarijiwa kwa muda mrefu kuwa nivumilie ajira za walimu zitatoka mapema. Ila sasa mpaka nimekata tamaa maana wanasiasa ni kawaida yao maneno mengi mwaka unaisha tunaingia mwaka mwingine mambo hayaelewiki.
Mtaani kunachosha yaani daah hata sijui
Wewe mjomba kwanini unatia tumaini pasipo na tumaini?vumilia 2 days c nyingi
Hivi Mmeisha Jua Radha Ya Tango, Mkijua Ndo Mtaajiriwa Naona Mnafanya Uzembe Tu.
We mwalimu una uhakika wa kuajiriwa halafu unatupigia kelele humu, nimekasirishwa sana na hii tabia yako ya kulia bila sababu za msingi. By the way nikueleze wazi kuwa ni mwaka Wangu wa NNE tangu nimalize shahada ya WILDLIFE MANAGEMENT hata masikitiko sina.
don't bother!
ilo la rita kama una link au nielekeze tangazo lilipoVumilia serikali imeanza kuajiri. Vumilia. RITA wametoa tangazo la ajira.
sidhan sana kama ni ishara sahihiNaona wametoa tangazo la kazi kwa upande wa RITA, na RITA iko ktk utumishi wa umma. Hii ni ishara njema kuhusu kufunguliwa kwa ajira na kupanda kwa madaraja kwa watumishi wa umma. Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
nenda kwene secretarieti ya ajira PSRSilo la rita kama una link au nielekeze tangazo lilipo
Dah! mapema mwaka huu? Hiv mhJafo anafaham maana ya mapema? Afu watu wengine wanapenda sifa eti mlitumia vibaya boom, hivi unajua watu wote wanapata asalimia mia? Je, unajua kuwa kuja kupata boom unakuwa una madeni lukuki, na baada ya boom la kwanza kwa linalofuatia hucheleweshwa sana hadi mipango ya bajeti kuvurugika? Unaposema mtu ajiajiri, mwalimu atajiajiri wapi? Serikali iache ukiritimba huu, mtu anakaa mtaani mwaka mzima ili hali kuna upungufu mkubwa wa walimu nchini pamoja na mrundikano wa wanafubnzi hasa baada ya elimu bure, visingizio vya hakuna pesa siyo vya msingi, serikali inakusanya mapato yake hadi kuvuka malengo kwa sasa, na ikumbukwa ajira za walimu mwaka huu ni kwa bajeti inayoisha muda wake yaani 2015/16 na si 2016/17 kama baadhi yetu tunavyopotosha. Hivi unahangaika na madawati wanafunzi wakakae tu darasani bila walimu? Mtu anayeleta dhihaka na kejeli asidhan anamkomoa mtoa mada bali halitakii mema taifa, mwalimu ndo anamuandaa mtaalam wa kufanya kazi viwandani hapo baadae, leo unategemea matokeo mazuri ili hali mwalimu 1 anafundisha wanafunzi 200 na kuendelea tofauti na idadi halisi ya wanafunzi 45, serikali inadai nchi haina walimu wa sayansi, leo unawakalisha mwaka mzima utadhani hjamna uhitaji. Where are we going as a nation?