Nimechoka kusubiri ajira za walimu

Nimechoka kusubiri ajira za walimu

Kuna mtu namfahamu amehitim chuo cha ualimu mwaka jana, amesuburi ajira hadi sasa peupe ila yeye alijiwahi akawa na plan b. Sasa hv ana duka la nguo kubwa tu anauza nguo za mitumba za watoto na wanawake ( ambazo seriously ndio zenye market) na life sasa hivi linaenda.
 
Heri yake alijiongeza mapema
 
Hamjasikia taarifa...Kuna upungufu wa walimu wa Wa sayansi tu....hahaha habari bure
 
Nimekuwa kufarijiwa kwa muda mrefu kuwa nivumilie ajira za walimu zitatoka mapema. Ila sasa mpaka nimekata tamaa maana wanasiasa ni kawaida yao maneno mengi mwaka unaisha tunaingia mwaka mwingine mambo hayaelewiki.

Mtaani kunachosha yaani daah hata sijui
Subira yavuta Kheri.........
 
Nenda private mbona kuna shule nyingi tu ,nipm nikuunganishe wanauhaba wa maths na physics.
 
Chokeni maaana mnachokifanya sio sahihi. Nafikiri mwenzenu ambae hata bado hajamaliza chuo alikuwa anampiga huyu mwanafunzi wa mbeya kama yupo 842KJ.
 
Chokeni maaana mnachokifanya sio sahihi. Nafikiri mwenzenu ambae hata bado hajamaliza chuo alikuwa anampiga huyu mwanafunzi wa mbeya kama yupo 842KJ.
Samahani sana mkuu kama hili nililokuandikia litakukwaza, ila umekurupuka aisee..
 
magufuli unatutesa na unatusababishia matatizo makubwa ya kisaikolojia na migogoro ya nafsi
 
Tatzo muwapo vyuon mnajisahau hamkumbuk kwamb kuna maisha baada ya boom sasa matokeo ndo hayo by the way mm nipo chuo na nasoma education lkn nkimaliza hata nicpopata ajira life litasonga2 bcz i have plan b already
ahaha okay poa utaja nambia
 
Ahadi zisizotekelezeka ni bora mkae kimya toka mwezi wa pili mnatupa ahadi hewa mpaka december .mmesababisha tuwe na stress
 
Nimekuwa kufarijiwa kwa muda mrefu kuwa nivumilie ajira za walimu zitatoka mapema. Ila sasa mpaka nimekata tamaa maana wanasiasa ni kawaida yao maneno mengi mwaka unaisha tunaingia mwaka mwingine mambo hayaelewiki.

Mtaani kunachosha yaani daah hata sijui
mwalimu unakosa kazi? hata tuition inakushinda
 
Back
Top Bottom