Ibnu Nindi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 400
- 74
endeleeni kusubiri
Magu anataka hadi aitwe mungu siyo mtukufu......ila ipo siku nayeye atarudi uraiani tu....Ee mtukufu raisi toa ajira vijana
wanateseka sana nipo huku kaliua
tabora hali ni mbaya vijana walio hitimu vyuo mbali mbali
wamekata tamaa na hawana imani tena na serikali achia ajira watakao pata wapate
na watakao kosa wakose.
Uko kama mimi nililazmishwa niendelee leo wenzangu walioishia four ni maafisa elimuNajilaumu kwa nini nilisoma kidato cha tano na sita pamoja na Elimu ya degree kwa sababu kwa alama nilizopata ningesomea ualimu wa msingi ningeajiriwa mwaka 2013 na ningechukua uuguzi ningeajiriwa tayari kwa utawala wa Mh .J.M.K .haya sasa nimateso ambayo sijawai yapitia .SIJAONA UMUHIMU WA WAKILISHI BUNGENI WAHOJI NI LINI AJIRA ZITATOLEWA.unayetuambia tujiajiri huku umeajiriwa na serikali au kampuni ni mnafiki.DENI la HESLB linaanza mwezi wa 12 .full stress hadi kichwa kinauma
Ha ha ha ha kama maneno kwel huumba hakika haya yataumbaMagu anataka hadi aitwe mungu siyo mtukufu......ila ipo siku nayeye atarudi uraiani tu....
Daaah mimi mmoja wao kwa vile nilijua yeye pia alikuwa Mwalimu angetusaidia ila sekta yetu ndo anasema inawatumishi hewa askari anapiga nao [HASHTAG]#selfie[/HASHTAG] na wakati ndo wanaongoza kwa vyeti feki...am sorry br...blame on mekilio cha ajira na maamuzi ya 25.10.2015 yananifanya niwachukie wote walio tia tiki kwa huyu mheshimiwa
kiukweli serikali inakataisha tamaa sana, yan wanakera sana, maneno tu vitendo hamnaNimekuwa kufarijiwa kwa muda mrefu kuwa nivumilie ajira za walimu zitatoka mapema. Ila sasa mpaka nimekata tamaa maana wanasiasa ni kawaida yao maneno mengi mwaka unaisha tunaingia mwaka mwingine mambo hayaelewiki.
Mtaani kunachosha yaani daah hata sijui
umeuchoka uzi uliochoka kusubiri ajiraHuh Uzi bado upo?kiukweli mie nimeuchoka huh Uzi.