Nimechoka kusubiri ajira za walimu

Nimechoka kusubiri ajira za walimu

TAMISEMI hamsikii kilio chetu mtueleze hatima yetu kuliko kututesa kisaikolojia kiwango hiki
 
TAMISEMI hamsikii kilio chetu mtueleze hatima yetu kuliko kututesa kisaikolojia kiwango hiki
Broo, kumbe wewe humtambui adui yako? Tamisemi wako chn ya mkulu, hvo anaepaswa kutuweka wazi ni mkulu, maana yeye ndie alisitisha, pia nashangaa muda wa tamko kupita still yuko kimya.
 
Nimekuwa kufarijiwa kwa muda mrefu kuwa nivumilie ajira za walimu zitatoka mapema. Ila sasa mpaka nimekata tamaa maana wanasiasa ni kawaida yao maneno mengi mwaka unaisha tunaingia mwaka mwingine mambo hayaelewiki.

Mtaani kunachosha yaani daah hata sijui
1473355854734.jpg
 
Ni kweli nimeona magazeti ya jana.nadhan sasa matangazo ya kazi yatakuwa ya kufa kenge
 
P.O.BOX 1923 Dodoma - Tanzania. Tel: 026 232 2848. Fax: Email: ps@tamisemi .go.tz. .<br />Online Teachers Employment Application System-OTEAS<br /><br />ONLINE TEACHERS EMPLOYMENT APPLICATION SYSTEM, THIS IS THE COMPUTER SYSTEM FOR MONITORING ...
 
Broo, kumbe wewe humtambui adui yako? Tamisemi wako chn ya mkulu, hvo anaepaswa kutuweka wazi ni mkulu, maana yeye ndie alisitisha, pia nashangaa muda wa tamko kupita still yuko kimya.
Safi kwa kufahamu ukweli ....ila hilo jina mkulu unamficha sana sema [HASHTAG]#Raisi[/HASHTAG] inabidi ajitambue ata yeye alikuwa Mwalimu ....siyo ajifanye hajui alichoahidi .....hivi sasa anakula kuku kwa mrija masikini chao ni ahadi tu....kweli bora tungebakia Misri kuliko kuelekea Canaan..
 
Jamani hawa wanaojiita serikali ya wanyonge wanamanisha tujinyonge au ndo wanatunyonga?kunahaja ya kuchambua neno kwa neno juu ya kinachozungumzwa na mwanasiasa
 
Wanasema tujiajiri,mipaka ya mazao imezuiwa,nyanya hazina wanunuzi,pembejeo bei juu,yani kama hayajakukumba ruksa kuntukana aisee
 
Ee mtukufu raisi toa ajira vijana
wanateseka sana nipo huku kaliua
tabora hali ni mbaya vijana walio hitimu vyuo mbali mbali
wamekata tamaa na hawana imani tena na serikali achia ajira watakao pata wapate
na watakao kosa wakose.
 
Vijana jifunzeni kubuni mi
sitaki kuamini kama ukweli hawaujui kuwa ajira zinatoka lini. Kwanini wasiwe wawazi tu na kuitanabaisha jamii kuwa ajira zitatoka siku fulani! Jamani maisha magumu sana kwa kweli. Halikuwa kosa letu kusoma ualimu kwa kuwa tumeitikia wito. Kwa nini tunateseka hivi? Kila siku afadhali ya jana! wazazi na ndugu wanapoteza imani na sisi kuwa labda mambo hayakuwa vizuri chuo. Wengine wameshaanza kuweka vizingiti kabisa. Jamani ishi maisha yote lakin maisha ya kumtegemea ndugu ni magumu sana. Famili zetu za kiafrika zinajulikana. Ukikosa hela mambo hayaendi.
Rais wetu tafadhali baba kuwa na huruma tuajiri baba. Imetosha tumenyooka. Hakutakuwa na uhewa hewa wowote baba. Tunakuomba. Nasema kwa uchungu mchana maana hapa nilipo sina hata uhakika wa kula mchana huu nikaona bora tu nitoe maombi haya.
Nimekuwa kufarijiwa kwa muda mrefu kuwa nivumilie ajira za walimu zitatoka mapema. Ila sasa mpaka nimekata tamaa maana wanasiasa ni kawaida yao maneno mengi mwaka unaisha tunaingia mwaka mwingine mambo hayaelewiki.

Mtaani kunachosha yaani daah hata sijui
kijana jifunze kubuni ajira he ukisikia serikali imefilisika utajiua?
 
Kwa nini watanzania wanaendelea kuwa tegemezi katika ajira. Inafikia hatua MTU asipo ajiriwa na serikali anaona heri kufa. Mfumo wa elimu Tanzania kuna haja ubadilishwe na umuandae Mtanzania kujiajiri.
Nimekuwa kufarijiwa kwa muda mrefu kuwa nivumilie ajira za walimu zitatoka mapema. Ila sasa mpaka nimekata tamaa maana wanasiasa ni kawaida yao maneno mengi mwaka unaisha tunaingia mwaka mwingine mambo hayaelewiki.

Mtaani kunachosha yaani daah hata sijui
 
Waliomaliza mafunzo ya uwalimu tunaomba serikali iwaajiri ili kuepuka maarifa waliyo yapata yasipotee.
 
Najilaumu kwa nini nilisoma kidato cha tano na sita pamoja na Elimu ya degree kwa sababu kwa alama nilizopata ningesomea ualimu wa msingi ningeajiriwa mwaka 2013 na ningechukua uuguzi ningeajiriwa tayari kwa utawala wa Mh .J.M.K .haya sasa nimateso ambayo sijawai yapitia .SIJAONA UMUHIMU WA WAKILISHI BUNGENI WAHOJI NI LINI AJIRA ZITATOLEWA.unayetuambia tujiajiri huku umeajiriwa na serikali au kampuni ni mnafiki.DENI la HESLB linaanza mwezi wa 12 .full stress hadi kichwa kinauma
 
Kujiajiri ndio mbadala kwa sasa kukaa kulia lia haitasaidia kitu,kwa sasa serikali ipo busy kuhakiki watumishi wake hakuna ajira itakayotolewa hadi mwakani
 
Back
Top Bottom