GIPAMA
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 1,103
- 543
Mpe mwelekeo, kazi gani kwa mfano. Na umejuaje ni mwanaume?Mwanamme mzima nimwonee huruma akiwa na familia ake ikimshinda ataludi kwao kulia lia ww pia huna msaada kwake afanye shughuli nyingine nyingi kipindi anasubiria post analalama nn sasa