ndugu yangu nimepata kisomo cha ruqya leo huwez amini kuna vitu vinatembea ndani ya mwili kama mdudu pia nilihisi kuungua na kupoteza fahamu naomba mniombee mtanzania mwenzenu
sina mumeSister kwani una mume
nipo arushaNi maombi ya kumtoa huyo adui wa kiroho, kurejesha uharibifu uliofanyika pamoja na kufundishwa namna ya kukaa katika ulinzi pia adui akikung'ang'ania ataadhibiwa vikali. Ni vyema ungesema upo wapi ili upate usaidizi uliopo karibu mapema.
Wengi wanakutana na hayo na wanasaidika
Sawa mkuukama ni muislam, uwe ukitaka kulala unafungulia quran surat baqala sauti ya chini na kujirudia rudia usiku mzima hakika hutapa hayo.
nipo arushaNi PM na wala hutakaa usikie upuuzi huo. Pia ningependa jua unakaa mji gani
AsanteMkuu;
Tukuombee kisomo zaidi au tukuombee nini tena?? Mbona mnaiga lugha ilee ati; Watanzania mniombee,Tukuombee nini??
PM tujuzane mambo. Mengine yapo kwenye uwezo wetu wenyewe
Well said [emoji779] [emoji779] [emoji779]Chunga maneno usemayo mkuu
[emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hutaamini ukinionaahaaa loh jf kuna watu natamani niwaone nione kama wanafanana na vcomment zao mmojawapo ni wewe
Hapana ndio[emoji125] [emoji125] [emoji125]Mkuu hivi wewe huwa ni mchawi au mganga?πππ
dini hairuhusu kugegedwa ovyoMengine ni mbadala dawa ni kugegedwa tu huoti tena
nipo arusha
Mtumie Mungu wako, fanya maombi kabla ya kulala na pia ulalapo usizime taa. Hayo ni matendo ya giza hayawezi kufayika kwenye nuru.Habarini ndugu zangu natumaini ni wazima,
Nina muda mrefu tangu nianze kuota nafanya mapenzi usiku mpaka naandika uzi huu ni kutokana na jinsi jana nilipoota nafanya mapenzi na mwanamama aliekua amevalia nguo nyeusi kwa kweli nilienjoy kabisa kama nafanya mapenzi live.
Ndugu zangu nifanyeje niache kuota hivi ukizingatia mimi ni mwanamke halafu naota nafanya na wanawake wenzangu.
Sawa mkuu asanteMtumie Mungu wako, fanya maombi kabla ya kulala na pia ulalapo usizime taa. Hayo ni matendo ya giza hayawezi kufayika kwenye nuru.
HahahaMkuu hivi wewe huwa ni mchawi au mganga?πππ
Sawa ndugu yanguDah mkuu kwanza pole sana... Nakusihi umtafte sana Mungu maana ndio pekee atakaeweza kukuokoa katika hilo