Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,502
afisa ugani ni nini?
nifafanulie please.....
nataka kukushauri kuhusu filam..lakini kwanza nieleweshe kuhusu maafisa ugani,why hailipi...???????
Extension officers aka mabwana shamba! Angelima au kununua mazao na kustock ingemtoa zaidi. Mimi nafikiri anapenda tu acting au ucelebrity!