Nimecheka sana kuisoma huu ujmbe jamani

Nimecheka sana kuisoma huu ujmbe jamani

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
Hii barua kuna mahali nimeichukua nikaona niipost kwa page yetu ili kama una cha kuongezea ongezea kabla hatujaituma kwa muhisika..

Dear Mwl. Nyerere, Tangu uondoke hali hapa Tanzania imebadilika, siku hizi mlima Kilimanjaro uko Kenya, ziwa Nyasa liko Malawi, Tanzanite iko Kenya, Tanesco ni ya Lowassa, pia Rais wetu siku hizi anaishi Airport. Mwl huku historia imebadilika kuwa Tanzania imetokana na visiwa vya pemba, unguja na zimbabwe. Mwl huku hali si shwari kwani mwanafunzi anahitimu std 7 huku hajui kusoma na kuandika na anafaulu mtihani, huwezi kuangalia TV mpaka uwe na king'amuzi Mwalimu tufanyeje ili Kuinusuru Nchi Yetu? Kama Inawezekana Njoo alafu utarudi.

#kama kuna chakuongezea ongezea hapo kwa kucomment.....fanya haraka ili tuiwaishe barua hii#

By admin Mussa Matokeo
NB: that's joke don't tk as serious issue



​


https://www.facebook.com/pages/Kibongobongo-Blogspot/102121366572820?ref=stream&hc_location=stream
 
Message hii ina ujumbe mzito sana kwa watawala na viongozi wetu wa sasa, na hasa ktk suala zima la kufanya maamuzi yanayo husu mustakhabari wa nchi!
 
Mwalimu Bunge pia limekuwa kama soko la Kariakoo kwa matusi na vituko visivyoisha.
 
Kinana kawa dalali wa kuuza tembo wetu aha mwalimu nimesaha sikuhizi hatubishani kwa hoja anaewabishia na kuwapa changamoto wanamng'oa meno au kucha.
 
mwalimu tembo wa sasa si kama wale wa zamani wakiona mtu kavaa shati la kijani wanatimua mbio karibu wote wameshahama nchi.
madini uliyokatal;ia tumebaki na masimo matupu tunakula mrabaha wa 3% sasa hivi mshahara hautoshi hata kumlipia mtoto mmoja shule.
 
mwalimu tembo wa sasa si kama wale wa zamani wakiona mtu kavaa shati la kijani wanatimua mbio karibu wote wameshahama nchi.
madini uliyokatal;ia tumebaki na masimo matupu tunakula mrabaha wa 3% sasa hivi mshahara hautoshi hata kumlipia mtoto mmoja shule.

Mwalimu.....tangu uondoke kuna jamaa ameingia pale magogoni anakuita marehemu mzee juliasi, hawakuiti mwalimu wala baba wa taifa tena.
 
Mwalimu siku hizi mtu aliyeishia darasa la saba anafanyiwa mpango akasome chuo kikuu.
 
Mwalimu siku hizi wakuu wa wilaya wanatamkwa tuu hawatuliwi,mwl sikuizi twiga anapanda ndege

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
siku hizi NEC ya kile chama chako imebinafsishwa kwa baadhi ya familia chache tu; baba, mama, mtoto, wote ni wajumbe.
 
Huu sio udaku, meseji hii umekosea kuiweka hapa. It tells what is existing, my God..a beautiful and rich country forced to be poor Tanzania, a nation of beggers, who cannot even choose what to beg...we beg condoms,mosquito nets....goooosh!...
 
Mwalimu kajipunzikia na hata mda wa kusoma barua ana
Na kama akipata muda wa kusoma atamuagiza yule mkuu wa wilaya aliewapiga viboko walimu awe rais ili hesima ifate mkondo wake
​
 
Huku kote kunaonyesha jinsi watanzania wasivyokuwa na matumaini na rais wao. Popote duniani rais kama ni msanii basi juwa hata waratibu wake pia watakuwa wasanii na ndiyo maana mtu ukiongea ukweli unatishiwa ili unyamaze kuongea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom