kama una anuani ya mwl Nyerere naomba umtumie hii barua yake:
dear mwl Nyerere, tangu uondoke hali hapa Tanzania imebadilika, siku hizi mlima kilimanjaro uko Kenya
ziwa Nyasa liko malawi
Tanzanite iko Afrika kusini
TANESCO ni ya Lowassa
pia raisi wetu siku hzi anaishi airport
Mwl huku historia imebadilika kuwa Tanzania imetokana visiwa vya pemba,unguja na zimbabwe
Mwalimu hali huku si shwari mwanafunzi anahitimu std 7 huku hajui kusoma wala kuondoka na anafaulu mtihani
pia mwambie Samora wa msumbiji kuwa Mandera amemchukua mke wake
hivi tufanyeje mwl ili kuinusuru nchi yetu?