Anuani ya Nyerere

Anuani ya Nyerere

Jephta2003

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2008
Posts
6,745
Reaction score
6,656
Kama una anuani ya Mwl. Nyerere naomba umtumie barua yake hii😀ear Mwl. Nyerere,Tangu uondoke hali hapa Tanzaniaimebadilika,- siku hizi mlima Kilimanjaro uko Kenya, ziwa Nyasa liko Malawi,Tanzanite iko Kenya, Tanesco ni ya Lowassa, pia Rais wetu siku hizi anaishi Airport. Mwl huku historia imebadilikakuwa Tanzania imetokana na visiwa vya pemba, unguja na zimbabwe. Mwl huku hali si shwari kwani mwanafunzi anahitimu std 7 huku hajui kusoma &kuandika na anafaulu mtihan! huwezi kuangalia tv mpaka uwe na king'amuzi Mwalimu tufanyeje ili Kuinusuru Nchi Yetu? Kama Inawezekana Njoo alafu utarudi!
 
Nyongeza tuu mzazi! Mwl Tanzania hivi sasa ni jimbo la uchina na kila mtanzania aliye hai anadaiwa laki tano na nusu. Sasa tutakimbilia wapi na tutamuomba nani chumvi? Inauma sana mwl
 
Kweli mwl bora urudi,cku hizi hakuna Azimio la Arusha bali watu wameazimia kula rushwa,toka uondoke watu wanakula hadi visivyoliwa elimu yetu bora mtu usisome wametujengea shule zinaitwa za kata tukue wao wakale vitu vinaitwa bata,mwl daima tutakukumbuka.
 
Nyongeza tuu mzazi! Mwl Tanzania hivi sasa ni jimbo la uchina na kila mtanzania aliye hai anadaiwa laki tano na nusu. Sasa tutakimbilia wapi na tutamuomba nani chumvi? Inauma sana mwl
Kula like kiongozi
 
Pia ongezea Mwalimu viwanda ulivyoviacha ukija usijeukastuka vyote vimekufa utakuta kipo kiwanda kipya cha Uongo.
 
Back
Top Bottom