Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,159
- 1,054
Kama una anuan ya mwl.Nyerere naomba umtumie barua yake hii:
Dear Mwl. Nyerere,
Tangu uondoke hali hapa Tanzania imebadilika, siku hizi mlima Kilimanjaro uko Kenya, Ziwa Nyasa liko Malawi, Tanzanite iko Kenya. Tanesco ni ya Lowassa. Sheikh Ponda ndo IGP japo
hajateuliwa na Rais na pia Rais wetu siku hizi anaishi Airport. Mwl huku historia imebadilika, Tanzania imetokana na Tanganyika na visiwa vya zimbabwe. Uhuru tulipata mwaka 1961. Mwl huku hal c shwari kwani mwanafunzi anahitimu huku hajui Kusoma & kuandika na anafaulu mtihan!Baada ya wanaharakati kupiga kelele juu ya mtindo wa serikali kuwapitisha wanafunzi ingali ya kwamba hajui kusoma na kuandika.Hatimaye ndio wakaamua kutoa matokeo mabaya kupita vipindi vyote vya utawala.Hv Tufanyeje Mwalim Ili Kuinusuru Nchi Yetu Kama Inawezekana rudi Mwalimu.Pia siku hizi usalama wa taifa umegeuka na kuwa usalama wa chama tawala!Nakumbuka enzi zako usalama wa taifa ulikuwa unaeshimiwa na wala watu wa usalama wataifa walikuwa awajulikani kama ilivyo sasa,mbaka imefikia atua wanatishia usalama wa raia kwa kuwang'o meno,kucha na kuwapiga kwa kuwatesa nusu kufa kisha wanakuuliza umetumwa na chadema.Kichwani nikawa najiuliza kwani chadema kinanini mbaka ifikie atua ya kuogopwa kiasi hiki!ndipo nikapewa majibu eti yakwamba inaisimamia serikali kwa kufichua mianya yote ya udhaifu serikalini.Pia mwalimu vyombo vyetu karibu vyote vya utetezi vimetugeuka na kuwa vyombo vya kutetea maslai ya mafisadi!Bunge ndio usiseme,kwani limegeuka ndio sehemu ya mipasho na matusi.Wachache wanaojitolea kututetea wanaishia kutukanwa na kuitwa majina ya ajabu na kupewa sifa mbaya mara magaidi nk.Polisi nao uzalendo umewaishia,yani imefikia atua polisi inawabambikia raia kesi za kila aina.Mahakama nayo inashushiwa adhi kwa kuingiliwa pasipo kuchukua atua yeyote ili mladi kusimamia nidhamu na adhi yake,imebaki kuacha na kuendelea kuangalia jinsi linavyo endelea kuvunjia heshma yake.Kutokana nanafasi ndogo niliyoipata sasa naomba niishie hapa ila nikipata nafasi siku nyingine nitaendelea.