The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,100
- 13,698
Acha ulimbukeni na uzwazwa. Mbona ukiwachapia wenzako hutwambiii?Wakuu,
Hii sio Chit Chat wala Jokes bali ni The Most painful Day of my life.
Nimechapiwa mke wangu.
Hii ni baada ya kusafiri, mshikaji kapita na mke wangu Usiku wa Mei Mosi.
Wife katoka job Bandari, kaenda kumegwa kwa mwana akarudishwa saa nne usiku kinondoni.
Picha la kwanza simu ilizimwa mda wote nikaja kuambiwa battery inasumbua baada ya show kuisha.
Nilitulia nikajiridhisha kwa 100% ni tukio la kweli, leo nimemwagia ushahidi mezani kabaki kumsingizia shetani.
Kichwa kinauma ila hatimaye nimekubali ndoa ni wizi wa mchana kweupe. Maana hela nilimpa, show za kibabe ila itoshe kusema huwezi kumridhisha kiumbe aliezaliwa na mwanadamu.
Hapa sijamtimua bado maana nafikiria namna ya ku transition na mtoto huyu wa kindergarten. Ila trust me sitaloweka tena kwake aende tu kwa bwana wake wa Impala Terminals.
Mama yetu Mlezi Mh. Dkt. Gwajima D sitakuangusha tumeaswa sana humu ndani sitanyanyua hata mkono wangu aende tu salama kama alivyokuja salama.
Tena humsifia sana Mchepuko kwa kejeli "ulikuwa wapi siku zote kunilomba kisawa sawa kwa M.B.O tamu namna hii? yule fal* na kiba100 chake hunichukuliaje kunipakaza mijasho yake kila siku?"Mkuu em imagine ilikua ikichomoka wife anairudisha ndani chap yani we imagine tuu.
Pale Msela anapotoa ushauri kwa Mume wa Mtu...🤭Mkuu b4 making hard decision.
Ebu jaribu kuangalia mtoto mtamuathiri kiasi gani baada ya kuachana,coz kama yuko chekechea bado sana ana itaji malezi ya wazazi wawili.
Ushauri.
1,Hili tukio kama ni mara ya kwanza toka muwe kwenye ndoa msamehe,then anza kusoma tabia zake na mienedo.
2,Washilikishe wazazi wenu pande zote mbili ili upate mawazo na ushauli,but ni aibu.na fedheha.
3,Endelea kumuonesha ushilikiano kama ni mzazi mwenzio ili kisudi kujenga kisaikolojia asije fanya maamuzi mabaya kama ya kuji ua au kunywa sumu,coz ni tukio la aibu.
4,Kuhusu tendo la ndoa apo sasa ni changamoto,coz lazma huna uaminifu tena.
Hii situations ni painful sana,but pole mkuu kwa majaribu ya ndoa.
Wakuu,
Hii sio Chit Chat wala Jokes bali ni The Most painful Day of my life.
Nimechapiwa mke wangu.
Hii ni baada ya kusafiri, mshikaji kapita na mke wangu Usiku wa Mei Mosi.
Wife katoka job Bandari, kaenda kumegwa kwa mwana akarudishwa saa nne usiku kinondoni.
Picha la kwanza simu ilizimwa mda wote nikaja kuambiwa battery inasumbua baada ya show kuisha.
Nilitulia nikajiridhisha kwa 100% ni tukio la kweli, leo nimemwagia ushahidi mezani kabaki kumsingizia shetani.
Kichwa kinauma ila hatimaye nimekubali ndoa ni wizi wa mchana kweupe. Maana hela nilimpa, show za kibabe ila itoshe kusema huwezi kumridhisha kiumbe aliezaliwa na mwanadamu.
Hapa sijamtimua bado maana nafikiria namna ya ku transition na mtoto huyu wa kindergarten. Ila trust me sitaloweka tena kwake aende tu kwa bwana wake wa Impala Terminals.
Mama yetu Mlezi Mh. Dkt. Gwajima D sitakuangusha tumeaswa sana humu ndani sitanyanyua hata mkono wangu aende tu salama kama alivyokuja salama.
Alisema Shetani amemfanyia nini?Nilitulia nikajiridhisha kwa 100% ni tukio la kweli, leo nimemwagia ushahidi mezani kabaki kumsingizia shetani.
ulimtoa tarime na kazi kashapata bandariniNilimtoa Tarime kinondoni hana miezi mitatu. But sikatai you're right maana imetokea.
Utalaam gani huo,hebu tuambieOne Man Down...kudadadeki. Pole sana wanawake ni wakukaa nao kitaalam sana
Hao wenye bikra utawakuta wapi ndugu? Sie wengine mitungi ndio inatuokoa tunapunguza muda wa kuwa jirani nao na kuweza kuwapekua.... Ila kiuhalisia wanawake wengi walio kwenye ndoa wanaliwa sana. Wengine wanajifanya wanasali sana kumbe ni hadaa tuu... Hao ndio wanaliwa kichizi... Hapo ni kuomba Mungu usijue tu....Tatizo ulioa mke wa mtu
Mwanamke ambaye hujamtoa bikra huyo sio mke wako mzee
Sisi wazaz wenu tukiwaambia ukweli mnatuona wabaya
Pambaneni na hali zenu sasa vijana wa ovyo