maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,506
- 6,447
Msaliti asamehewi, faida ni ndogo kuliko hasara.Wanaume naona wanavojiachia na comments zao utasema malaika wagawa thawabu 😎 hakuna mkamilifu kwenye Dunia hii wangap humu mnachepuka sema hatuwajui Wala wake zenu hawajui ila mkiingia social media nyie ndie malaika wa zamu
Sijaona kipya wote ndo yaleyale
Sawa,kuna hasira,kuna uchungu,lakini kumbuka kiapo mlichokula kwenye ndoa.Kumbuka kuwa samehe ili nawe usameheweSio hasira mkuu, hasira zilishaisha sasa hivi ni maumivu tu.
Pole na yaliyokukuta wewe sio wa kwanza kufanyiwa Ivo na hutokua wa mwisho ila hata wewe unaweza ukawa na mapungufuAsante kwa maoni mkuu.
Aijasema asamehewe ila watu wanajiona watakatifu sanaMsaliti asamehewi, faida ni ndogo kuliko hasara.
Asante kwa ushauri chief.Usimuache huyo mwanamke
Na sababu ni mtoto....ila muache kihisia
Kwanza endelea kumla ila tumia mafuta na usimle zaidi ya bao moja...
Pili kata kabisa cashflow yaani hela kutoka kwako iwe ya matumizi
Tatu tafuta mwanamke wa nje
Nne mtombe kama malaya tu...usiweke hisia mapenzi mpe mtoto
Tano...usimchunguze wala kumfatilia
Sita ukiwa nyumbani kuwa busy..na mtoto kama si mtoto movie
Akiomba msamaha au kujirudi..muachishe kazi na kinondoni hama
Ila usisaha kuliwa ataliwa tu hata hawa wa kwetu wanaliwa sana
Fanya REFORMS mkuu urudi kwenye ERECTION.Nimekoma mkuu naungana na No erection kwenye huyu.
Lazima washauri kwa mifano haiAijasema asamehewe ila watu wanajiona watakatifu sana
Kwasasa naona kinyaa kumuona tu, stamani hata kumgusa.Pole na yaliyokukuta wewe sio wa kwanza kufanyiwa Ivo na hutokua wa mwisho ila hata wewe unaweza ukawa na mapungufu
Ita wazee na washenga mzungumze usifanye jambo Kwa hasira ukaacha mtoto kulelewa na mzaz mmoja
I wish Mungu anijalie huo moyo, life won't be the same kabisa. Haya mambo ni madogo sana ila nimekubali madhara yake ni makubwa mno.Sawa,kuna hasira,kuna uchungu,lakini kumbuka kiapo mlichokula kwenye ndoa.Kumbuka kuwa samehe ili nawe usamehewe
Msamehe then muadhibu kidogo,tafuta adhabu ambayo sio ya kumpigaKwasasa naona kinyaa kumuona tu, stamani hata kumgusa.
kuna mwanaume kwa ajili ya wanawake mia ila hakuna mwanamke kwa ajili ya wanaume wawili .Kwaiyo mkuu wanaume wakitoka nje ya ndoa sawa,ila wanawake ni roho mbaya si ndio
Daa pole br mwanaume unawaza familia maisha yaende watoto wasome mwanamke anawaza ngonoNaomba huyu tusafirishe mkuu, wenyewe hatuwezi kuyamaliza lazima wazazi wake na wangu washirikishwe kumbuka huyu hakuwa demu ni Mke na nimezaa nae .
bro njoo inboxKama vile mkuu ?