Hechinodemata
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,467
- 3,228
Majina yawaliopata mkopo yametoka lakini cha ajabu loan board wametoa asilimia chache Sana namm mfukoni nina pesa ya nauli tu, Ada ya chuo ni million moja na Laki moja lakini wao wamenipa Laki tisa na Mia tano tu
na meals and accommodation wamenipa million mbili na tisini elfu na Mia tano
Nifundisheni namna ya kukata rufaa View attachment 1977591
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Nina wasiwasi sitapata mkopo wa chuo nisaidieni mawazo
- Thread starter mpwayungu village
- Start dateSep 27, 2021