Kampeni ya mabusha, nyumba kwa nyumba

Mocumentary

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
768
1,959
Kampeni ya umezaji wa kinga tiba ya ugonjwa wa matende na mabusha inatarajiwa kuanza Novemba 21 hadi 25 itakayo husisha Halmashauri tatu ya Dar es salaam, Temeke, na Kinondoni.

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Ng'wilabuzu Ludigija amesema tiba hiyo itaenda ahdi mashuleni na kuwafikia takribani watu milioni nne laki nne arobubaini na tisa mia tisa tisini na tano.

Naye Dkt. Rashid Mfaume anaelezea wilaya yenye wagonjwa wengi kuwa ni Kinondoni ambapo kuna watu mia tisa ishirini na moja, Ilala mia nne tisini na tano, na kuwataka wananchi kujitokeza kwani huduma hiyo
itafanyika bila malipo.

Daily news digital

 
Duuh mbona ndo prestige yetu watu wa pwani wakaanzie kanda ya ziwa uko , nina msuli wangu hapa pembeni kahawa chini busha linapunga upepo
 
Back
Top Bottom