Nimechanganyikiwa nisaidieni

Majina yawaliopata mkopo yametoka lakini cha ajabu loan board wametoa asilimia chache Sana namm mfukoni nina pesa ya nauli tu, Ada ya chuo ni million moja na Laki moja lakini wao wamenipa Laki tisa na Mia tano tu
na meals and accommodation wamenipa million mbili na tisini elfu na Mia tano
Nifundisheni namna ya kukata rufaa View attachment 1977591

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app

Nina wasiwasi sitapata mkopo wa chuo nisaidieni mawazo​

Wewe ni aina ya wale watu wakulalamika tuu katika maisha na huna shukrani, ulikua na wasiwasi kwamba hupopata mkopa sababu umekosea mwaka wa kuzaliwa unaokinzana na mwaka uliojaza shule, leo unalalamika sababu Helsb inakutaka uongeze laki mbili tu wakati unaweza ipata kwenye MA tena ni pesa ndogo sana kwa wewe ukilinganishwa na wenzako wanatakiwa kulipa mpaka laki 6, Be thankfull vinginevyo hutaweza chuo, believe me
 
Wewe mtu asee huna shukrani. Kuna wenzako hawatapata hata 100.

Mimi nimesoma chuo sina boom so tuition fee naunga unga tu na hela ya stationeries ndio usiseme na kila siku handouts zinatolewa na kuuzwa.

Kama sio wana kunibeba beba na kununua plate moja tunagonga watu wawili na kunywa maji ya kandoro nahisi nisingetoboa.
Duuh

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
mpwayungu village .
Hio kilo 2 ilobaki fanya kuimegamega kwe boom ujazilizie an, no way.....
Mambo ya kutanua weka pemben, fanya kilichokufanya upate huo mkopo....
Pamoja na direct cost nitatoa laki Tatu itabaki Laki mbili tu kwenye pesa ya boom
Swali : Je Laki mbili utatumia miezi miwili?

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Majina yawaliopata mkopo yametoka lakini cha ajabu loan board wametoa asilimia chache Sana namm mfukoni nina pesa ya nauli tu, Ada ya chuo ni million moja na Laki moja lakini wao wamenipa Laki tisa na Mia tano tu na meals and accommodation wamenipa million mbili na tisini elfu na Mia tano Nifundisheni namna ya kukata rufaa View attachment 1977591 Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app

Yani bro shukuru Sana Kwa Mungu umepewa hata hiyo laki Tisa hapo unahitaji kujibana kidogo Tu uongeze ili Ada itimie ...Mimi nimechaguliwa MD Ila nimeambulia Meals na accommodation Tu .....Asa sijui hela serikali waliosema wameongeza Kwa ajili ya mikopo imeenda wapi
Duh halo mbaya,mi mwnye nmelipiw ad 400500 out of 1100000
 
Majina yawaliopata mkopo yametoka lakini cha ajabu loan board wametoa asilimia chache Sana namm mfukoni nina pesa ya nauli tu, Ada ya chuo ni million moja na Laki moja lakini wao wamenipa Laki tisa na Mia tano tu
na meals and accommodation wamenipa million mbili na tisini elfu na Mia tano
Nifundisheni namna ya kukata rufaa View attachment 1977591

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Ridhika kijana,mi mwny nmelipiwa ada lak 4 tu,chuo hichohicho bt coz ni uchumi,ila ntajikaza kiume
 
Nina wasiwasi sitapata mkopo wa chuo nisaidieni mawazo​

Wewe ni aina ya wale watu wakulalamika tuu katika maisha na huna shukrani, ulikua na wasiwasi kwamba hupopata mkopa sababu umekosea mwaka wa kuzaliwa unaokinzana na mwaka uliojaza shule, leo unalalamika sababu Helsb inakutaka uongeze laki mbili tu wakati unaweza ipata kwenye MA tena ni pesa ndogo sana kwa wewe ukilinganishwa na wenzako wanatakiwa kulipa mpaka laki 6, Be thankfull vinginevyo hutaweza chuo, believe me
Tena law
 
Dogo jau uyu
 
Aseee hii nchi INA vijana wa hovyo sana. Yaaani ada inabaki kudaiwa laki2, na una boom la 3m ukitoa hizo laki2 unabaki na 2.8M bado unataka kukata rufaa. Badirika kijana
 
  • Thanks
Reactions: cmp
Majina yawaliopata mkopo yametoka lakini cha ajabu loan board wametoa asilimia chache Sana namm mfukoni nina pesa ya nauli tu, Ada ya chuo ni million moja na Laki moja lakini wao wamenipa Laki tisa na Mia tano tu
na meals and accommodation wamenipa million mbili na tisini elfu na Mia tano
Nifundisheni namna ya kukata rufaa View attachment 1977591

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Kakate rufaa ili wakutoe kabisa katika wanufaika ndo utajua kwa nini Muccobs inaitwa Mocu.
 
Back
Top Bottom